kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,095
- Thread starter
- #181
Heshima kitu cha bureNimeuliza kutokana na swali lililoulizwa na kujibiwa vile.
Heshima kitu cha bureNimeuliza kutokana na swali lililoulizwa na kujibiwa vile.
Narudia, nimeuliza kutokana na alivyonijibu yeye, kuna kosa hapa?Heshima kitu cha bure
Pole mtanzania, mshkaji bado anaendelea?Nilipohamia hapa kuna mkaka nimemkuta huyu jirani simuelewi kabisa ananitumia meseji muda wote, nikitoka nje nikimwangalia ananionea aibu, na sijawahi kumuona na mwanamke ila anaonekana ana mambo mengi maana muda wote anaongea na simu tu.
Nimewamiss wana jukwaa😍🙂↕️😔
Alishahamaga siku nyingi tuPole mtanzania, mshkaji bado anaendelea?