kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,095
- Thread starter
- #161
Eeeh! HayaHamjawi , haitotokea mueleweke nyie dawa yenu ni ileile kutoeleweka ngoma draw
Eeeh! HayaHamjawi , haitotokea mueleweke nyie dawa yenu ni ileile kutoeleweka ngoma draw
introvertMpo daraja moja mkuu,wale wa intsro....... Nini sijui.
Binti sayuniEeeh! Haya
😂😂😂😂😂😂Alafu mnalalamika wanaume wa kuolewa hamuwaoni! Kisha mnajianika Tinder, Tagged, Hi5, Badoo n.k kwa wasaka mbususu!
Tupe mrejesho kama sasa mnakaa rumu moja 😀😀Nilipohamia hapa kuna mkaka nimemkuta huyu jirani simuelewi kabisa ananitumia meseji muda wote, nikitoka nje nikimwangalia ananionea aibu, na sijawahi kumuona na mwanamke ila anaonekana ana mambo mengi maana muda wote anaongea na simu tu.
Nimewamiss wana jukwaa😍🙂↕️😔
The Mongolian Savage huyoNilipohamia hapa kuna mkaka nimemkuta huyu jirani simuelewi kabisa ananitumia meseji muda wote, nikitoka nje nikimwangalia ananionea aibu, na sijawahi kumuona na mwanamke ila anaonekana ana mambo mengi maana muda wote anaongea na simu tu.
Nimewamiss wana jukwaa😍🙂↕️😔
Hatukai rumu moja ila ana demu wake namuonaga anakujagaTupe mrejesho kama sasa mnakaa rumu moja 😀😀
Hayo ni mambo yako binafsi.Nilipohamia hapa kuna mkaka nimemkuta huyu jirani simuelewi kabisa ananitumia meseji muda wote, nikitoka nje nikimwangalia ananionea aibu, na sijawahi kumuona na mwanamke ila anaonekana ana mambo mengi maana muda wote anaongea na simu tu.
Nimewamiss wana jukwaa😍🙂↕️😔
Aaa nikajua ulishajaa baada ya kumuelewa.Hatukai rumu moja ila ana demu wake namuonaga anakujaga
Hapana sijamuelewa kabisaAaa nikajua ulishajaa baada ya kumuelewa.
Oyaa dogo jikite kwenye mada iliyopo jamvini I
Uzito wa katiAnataka nini itakuwa
Ndiyo niniUzito wa kati
Upo mkoa gani nikufundishe?Mimi ndo bingwa wa uzito wa kati 😎Ndiyo nini
Nimeuliza kutokana na swali lililoulizwa na kujibiwa vile.Kuwa na adabu kidogo
Hivi mmeelewa swali lililoulizwa au mnakurupuka tu?Huyo amezidi. Sio kidogo tu, sana
Jiran.Nilipohamia hapa kuna mkaka nimemkuta huyu jirani simuelewi kabisa ananitumia meseji muda wote, nikitoka nje nikimwangalia ananionea aibu, na sijawahi kumuona na mwanamke ila anaonekana ana mambo mengi maana muda wote anaongea na simu tu.
Nimewamiss wana jukwaa😍🙂↕️😔
Siwezi kudate naye kabisa, naendelea poa kabisa, sijui weweJiran.
Achana na huyu mwanaume.
Ni mbaya sana kudate na jiran yako.
Madhara ni meng sana. Na unayajua.
Unaendeleaje lakin Binti Sayuni03
Kesho weekend
Kwani upo vichwani mwetu hadi utuulize tunaelewa?Hivi mmeelewa swali lililoulizwa au mnakurupuka tu?