Huyu kaka jirani simuelewi kabisa

Huyu kaka jirani simuelewi kabisa

Sasa usichomwelewea ni Nini?...huyo ni introvert, ni warrior behind keyboard ...ni mshy lkn mwaminifu na trust me akikuzoea utampenda....usimtunuku Ngono kwanza, make him a friend....bado na simu zake na ubize wake , Hana marafiki and he is very lonely.......
Hahahaha umenikumbusha jamaa flan hivi nilisoma nae o level.
 
Nilipohamia hapa kuna mkaka nimemkuta huyu jirani simuelewi kabisa ananitumia meseji muda wote, nikitoka nje nikimwangalia ananionea aibu, na sijawahi kumuona na mwanamke ila anaonekana ana mambo mengi maana muda wote anaongea na simu tu.

Nimewamiss wana jukwaa😍🙂‍↕️😔
Fungua PM tuongee
 
Nilipohamia hapa kuna mkaka nimemkuta huyu jirani simuelewi kabisa ananitumia meseji muda wote, nikitoka nje nikimwangalia ananionea aibu, na sijawahi kumuona na mwanamke ila anaonekana ana mambo mengi maana muda wote anaongea na simu tu.

Nimewamiss wana jukwaa
 
Back
Top Bottom