Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 167,496
- 185,685
Pole sana...Mwenye nyumba alimpa
Pole sana...Mwenye nyumba alimpa
Asante sana mkuuPole sana...
Embu jaribu kumpima kwa kumpa shoo kisha uje utuambie kama ni rijali kweli ama analiwa na wenziweNilipohamia hapa kuna mkaka nimemkuta huyu jirani simuelewi kabisa ananitumia meseji muda wote, nikitoka nje nikimwangalia ananionea aibu, na sijawahi kumuona na mwanamke ila anaonekana ana mambo mengi maana muda wote anaongea na simu tu.
Nimewamiss wana jukwaa😍🙂↕️😔
Mh! Ana demu wake nimemuona leoEmbu jaribu kumpima kwa kumpa shoo kisha uje utuambie kama ni rijali kweli ama analiwa na wenziwe
njoo kwangu ila usiwe na kitambi+mifupa mitupuHamna nataka asiye na mambo mengi
Heeeh! Unataka wa vipinjoo kwangu ila usiwe na kitambi+mifupa mitupu
kiuno cha nyigu au kitemvu, mguu wa bia, sura nyemba, black beaut, mrefu kiasi nywele ndefu na asiwe anaongea kama kameza memory card.Heeeh! Unataka wa vipi
Sura siyo roho, uzuri siyo tabia mkuu kama unaangalia wanawake kwa vigezo hivyo utafelikiuno cha nyigu au kitemvu, mguu wa bia, sura nyemba, black beaut, mrefu kiasi nywele ndefu na asiwe anaongea kama kameza memory card.
tabia na roho nitamrekebisha mwenyewe.Sura siyo roho, uzuri siyo tabia mkuu kama unaangalia wanawake kwa vigezo hivyo utafeli
Aya kila la kheri mkuutabia na roho nitamrekebisha mwenyewe.
sasa ulitoa namba ya kazi gani?? Umri ukisonga mnauza barafuSiwezi kudate naye siyo type ya wanaume naowakubali
Siwezi kudate naye siyo type ya wanaume naow
njoo tuchatNilipohamia hapa kuna mkaka nimemkuta huyu jirani simuelewi kabisa ananitumia meseji muda wote, nikitoka nje nikimwangalia ananionea aibu, na sijawahi kumuona na mwanamke ila anaonekana ana mambo mengi maana muda wote anaongea na simu tu.
Nimewamiss wana jukwaa😍🙂↕️😔
Mwenye nyumba alimpaUlittle ni
sasa ulitoa namba ya kazi gani?? Umri ukisonga mnauza barafu
Kuwa ama kutembelewa na demu hapa Bongo si kitu cha hajabu maana wasanii wa mapenzi wako wengi si kina Manara tu hata wasanii wetu walio wengi wako hivyo. Unakuta mwanamme ana demu wa nguvu anamuingiza chumbani kumbe anaenda kufilwa yeye (mwanmme).....Bongo kuna ujinga mwingi sana.Mh! Ana demu wake nimemuona leo
NA wewe unamtaka?Nilipohamia hapa kuna mkaka nimemkuta huyu jirani simuelewi kabisa ananitumia meseji muda wote, nikitoka nje nikimwangalia ananionea aibu, na sijawahi kumuona na mwanamke ila anaonekana ana mambo mengi maana muda wote anaongea na simu tu.
Nimewamiss wana jukwaa😍🙂↕️😔
Hapana simtaki ana mtu wakeN
NA wewe unamtaka?
Mimi nikishamuona mtu tu na demu wake huyo basi siwezi hata iwejeKuwa ama kutembelewa na demu hapa Bongo si kitu cha hajabu maana wasanii wa mapenzi wako wengi si kina Manara tu hata wasanii wetu walio wengi wako hivyo. Unakuta mwanamme ana demu wa nguvu anamuingiza chumbani kumbe anaenda kufilwa yeye (mwanmme).....Bongo kuna ujinga mwingi sana.
Huwezi kufanya nini kufilwa au?Mimi nikishamuona mtu tu na demu wake huyo basi siwezi hata iweje
We binti mmbeya kweli bora hata ungekuwa mtanga.Nilipohamia hapa kuna mkaka nimemkuta huyu jirani simuelewi kabisa ananitumia meseji muda wote, nikitoka nje nikimwangalia ananionea aibu, na sijawahi kumuona na mwanamke ila anaonekana ana mambo mengi maana muda wote anaongea na simu tu.
Nimewamiss wana jukwaa😍🙂↕️😔
Afadhali ya hao! Kwenda kwa kina mwamposa nk nk, waganga wa kienyeji, hata kuwapa hela, mbaya zaidi mpaka nanihii! Hapo tu hawa warembo wanapotuchanganya!Alafu mnalalamika wanaume wa kuolewa hamuwaoni! Kisha mnajianika Tinder, Tagged, Hi5, Badoo n.k kwa wasaka mbususu!