King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,786
Asante King, kumbe unajua kusoma codes eh! Totoz hiyo, kitu cha slim, tall (I guess mweupe na pozi za kipwani hivi) na nyodo za kike, wahi pm mi nichunge kibaraza hapa
Acha nyodo mtoto wa kike kulikua na wenzako kama wewe hoo nataka mwanamme handsome oh awe mrefu at the end wameolewa na vibabu na mvi tii,usimkatae kwa kua mfupi sema wewe bado mtoto ukishafikisha 29 au 30 utawatafuta hata kina mwala na utawakosa mwishowe utakuja kuishia kwa kina emoro,grow up acha utoto,kama haumtaki sema tu simtaki usije ukasema kisa mfupi au ni promo tujue kwamba wewe ni mwembamba na mrefu?