Huyu James Mfugale anaetafutwa mitandaoni kafanyaje?

Mkuu, mbona hyo RB ni ya 2010, ndo ulikuwa unafungua mwaka nini? Maana hata jina sio la uliyemtaja katika kichwa cha uzi wako.
...uzi unamuhusu John,RB ya James!...ishu ya 2010;
...kule fb wanajibizana tu wenyewe wanandugu kana kwamba wote wanaujua huo wizi/utapeli!
...Pdidy nae katuletea anatuuliza sisi!
..blalbasket!
 
Kwani LOWASA alikuwa anafanana na wezi?maana ukimuona ni mpole sana wala hutaamini kama ni mwizi wa kutupwa.
 
Mkuu John Mfugale yupi tena?
Maana mimi John Mfugale ninayemjua ni mtoto wa kishua kishenzi,
Dingi yake alishawahi kuwa kigogo wa Idara ya maji.
Walikuwa na undugu na yule Mfugale wa Peacock,
Baba yake na Evalisto Mfugale.
SIO HUYO
REJEA MAREKEBISHO N JAMES NOT JOHN
 
...uzi unamuhusu John,RB ya James!...ishu ya 2010;
...kule fb wanajibizana tu wenyewe wanandugu kana kwamba wote wanaujua huo wizi/utapeli!
...Pdidy nae katuletea anatuuliza sisi!
..blalbasket!

NAPITA
 

Attachments

  • ef117076bd161a7af8ccb4eadac5e3b4.jpg
    ef117076bd161a7af8ccb4eadac5e3b4.jpg
    36.2 KB · Views: 49
Nimeona picha moja ya jamaa mstaarabu ana RB ya polisi, jamaa wanamtafuta kwa tuhuma za wizi.

James mfugale sIo john

Sasa najiuliza wizi upi jamani mbona kijana hata hafananii.
sura sio roho acha kukariri ndugu....ina maana sura yake ndio imekusukuma kuandika uzi huu ???..
 
Kipindo icho nakatiza mtaani mtu angeambiawa mm ni msaidizi wa ban israel wasingeamini ata ashuke malaika nilivyokua handsome mpole msafi kaa paka wa hotel aisee aya maisha acha kabisa unaweza kuta ata mkeo mwizi na aujui japo unalala nae
Wanisamehe tu niliwowatanguliza uko
 
Kaiba hela ngapi kwanza? Nisije kumsaka mtu kumbe kaiba vimilioni viwili tu!! Hata kugawana havitoshi! Ila kama kapiga ndefu ntajitolea kuwa mkuda #1!! Maana mgao unaweza kuwa mzuri kidogo! Stakagi ujuha mimi!
 
Wewe ndiye mkuda wa kwanza.....
Na unavyopenda nanihiiii, hata 2020 hufiki dadekiiii......
Mimi lazima nikuzike wewe fala......
....ongeza 0,mpaka 20200 mi nasebenza tu!
.afu mi rasta sili Nyama yoyote;
..ya Kifua,Kidevu,Kitovu,Kiuno;
.wala ya KatiKati!
...kazi unayo mkuda!
..R.I.P,in advance!
 
....ongeza 0,mpaka 20200 mi nasebenza tu!
.afu mi rasta sili Nyama yoyote;
..ya Kifua,Kidevu,Kitovu,Kiuno;
.wala ya KatiKati!
...kazi unayo mkuda!
..R.I.P,in advance!

Haaahaaaaaa,
Wewe mkuda unazingua,
R.I.P in advance wewe unayependa kushinda pale PICNIC.
 
Back
Top Bottom