Huyu hapa Jesca John Magufuli

View attachment 506279 Sijui nitampatia wapi kumweleza, Sijui nitaipata wapi namba yake angalau anifahamu.

Popote ulipo Jesca, napenda ufahamu kwamba kuna kijana wa kichaga, Mangi kamili anahangaika usiku na mchana kutafuta mawasiliano yako.

Ni kijana mtanashati, anaelimu ya kutosha na cheti halali tena cha enzi za Ndalichako.

Tafadhali wandugu, nisaidieni nitampataje Jesca.
Msihofu kuhusu Baba mkwe, nimejiandaa kwa Mashambulizi.

General Mangi
Daslam.

MCHAGA? MH SIJUI NDUGU YANGU.....
 
Ila Tanzania yenye neema naiona inakuja kwa kazi,ndege tunazo,tena sasa hivi mtanzania hata ukiulizwa kuwa nchi yako INA nini unalo LA kujibu,barabara tunazo nzuri,ndege tunazo,kiongozi wetu ni MTU anaependa tuwe na vitu vyetu wenyewe,ila wasioelewa wanapinga kila kitu,tuacheni roho mbaya
Wenzio wanatafuta mbinu za kuchumbia wewe unakuja na siasa za ndege? Tupe takwimu za raia wa kawaida ambao walishaiona ndege imetua acha kuipanda. Barabara waeleze akina Bashite wenye magari matatu majumbani wengine mwendo wa baiskeli.
 
Wachaga wanapenda sana wanawake warembo. Jesca kafanana sana na Baba yake sura ngumu kwelikweli we mangi umekosa wanawake warembo?
 
General Mangi watch out

not to that extent

15ecf8b1d7096ef76b475373cd423642.jpg

Sijui nitampatia wapi kumweleza, Sijui nitaipata wapi namba yake angalau anifahamu.

Popote ulipo Jesca, napenda ufahamu kwamba kuna kijana wa kichaga, Mangi kamili anahangaika usiku na mchana kutafuta mawasiliano yako.

Ni kijana mtanashati, anaelimu ya kutosha na cheti halali tena cha enzi za Ndalichako.

Tafadhali wandugu, nisaidieni nitampataje Jesca.
Msihofu kuhusu Baba mkwe, nimejiandaa kwa Mashambulizi.

General Mangi
Daslam.

Samahani lkn, mimi nimeota ukipasuliwa kichwa
 
Sijui nitampatia wapi kumweleza, Sijui nitaipata wapi namba yake angalau anifahamu.

Popote ulipo Jesca, napenda ufahamu kwamba kuna kijana wa kichaga, Mangi kamili anahangaika usiku na mchana kutafuta mawasiliano yako.

Ni kijana mtanashati, anaelimu ya kutosha na cheti halali tena cha enzi za Ndalichako.

Tafadhali wandugu, nisaidieni nitampataje Jesca.
Msihofu kuhusu Baba mkwe, nimejiandaa kwa Mashambulizi.

General Mangi
Daslam.
Kupost hapa kapicha kamoja inaonesha jinsi gani hauko siriaz na hili swala..
 
Similar Discussions

63 Reactions
Reply
Back
Top Bottom