Huyu hapa Jesca John Magufuli

Huyu hapa Jesca John Magufuli

View attachment 506279 Sijui nitampatia wapi kumweleza, Sijui nitaipata wapi namba yake angalau anifahamu.

Popote ulipo Jesca, napenda ufahamu kwamba kuna kijana wa kichaga, Mangi kamili anahangaika usiku na mchana kutafuta mawasiliano yako.

Ni kijana mtanashati, anaelimu ya kutosha na cheti halali tena cha enzi za Ndalichako.

Tafadhali wandugu, nisaidieni nitampataje Jesca.
Msihofu kuhusu Baba mkwe, nimejiandaa kwa Mashambulizi.

General Mangi
Daslam.
Ungesema MSUKUMA sawa,mchaga!!!!
Sijui kama Posa yako itapokelewa
 
Mwenye picha yake aitupie humu na sisi wanaume wa mikoani tumfahamu maana wanaume wa dar wanawake zenu shemeji zetu wanawake wetu wanawaje wenu
Picha ipo.
 
Mkuu General Mangi, kukusaidia:
1) Tafuta wazee wenye hekima (akina Mkapa, Mramba, Yona, Desamburo na Mbowe), hawa wazee wapeleka posa kwa mshua.
2) Jipange kwa kutangaza dau kubwa la ng'ombe kwa mshua hata kama kwa ahadi ila uwe na kianzio.
3) Wakishaenda kumuona mshua na kuongea mambo ya kifamilia, utaweza kupata nafasi ya kumuona na kama toto yule wa kisukuma ataridhia kuwa mke ya Mangi mapesa msomi basi mchezo utakuwa umeushinda.
Ni hayo tu kwa sasa!!
Utatoaje Msururu wa ng'ombe while binti mwenyewe MWEUSI.
 
Yuko vizuri hilo komwe kama la dingi yake.
f00d486393ebfb552f628834104bab2c.jpg
 
Unaroho ngumu hata jambazi tu hilo

Swissme
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Mkuu mfukuzie mtoto jesca ,
Kila siku anapitaga pale magogoni akiwa anaenda kununua vitunguu na nyanya.
 
Bomu

Swissme
 
View attachment 506279 Sijui nitampatia wapi kumweleza, Sijui nitaipata wapi namba yake angalau anifahamu.

Popote ulipo Jesca, napenda ufahamu kwamba kuna kijana wa kichaga, Mangi kamili anahangaika usiku na mchana kutafuta mawasiliano yako.

Ni kijana mtanashati, anaelimu ya kutosha na cheti halali tena cha enzi za Ndalichako.

Tafadhali wandugu, nisaidieni nitampataje Jesca.
Msihofu kuhusu Baba mkwe, nimejiandaa kwa Mashambulizi.

General Mangi
Daslam.
Hofu yangu ni huyo baba mkwe.....nasikia anachuki na akina Mangi, sijui umejipangaje kwa hilo...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa ubaguzi huu unaoendelea, unaweza ulizwa wewe ni chama gani kwanza!!
 
View attachment 506279 Sijui nitampatia wapi kumweleza, Sijui nitaipata wapi namba yake angalau anifahamu.

Popote ulipo Jesca, napenda ufahamu kwamba kuna kijana wa kichaga, Mangi kamili anahangaika usiku na mchana kutafuta mawasiliano yako.

Ni kijana mtanashati, anaelimu ya kutosha na cheti halali tena cha enzi za Ndalichako.

Tafadhali wandugu, nisaidieni nitampataje Jesca.
Msihofu kuhusu Baba mkwe, nimejiandaa kwa Mashambulizi.

General Mangi
Daslam.
Nkupe # cjui utanipa nini...?Mkuu
 
Ngoja umpate halafu mko ndani anakwambia unaweza kuwa na haki ya kupikiwa lakini not to that extent!

Usiku unasikia Mangi usifikiri mimi najaribiwaga!
 
mkuu kwani pale magogoni hupaju?? Kirahisisha mambo Jenga urafiki na Bashite boy
 
Back
Top Bottom