Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,857
Bashite angekuwa hajaoa angekabidhiwa hiyo zawadi
Nasikia jamaa sio rizki.
Bashite angekuwa hajaoa angekabidhiwa hiyo zawadi
Ohoooo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yupo humu humu anatumia jina LA faiza foxy
wewe jina tu mangi unategeme nini sasaUtasema mengi sana Mkuuu!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu hilo ni jambo la heri usiogope we zama tu,kumbuka hata simba ana zaa ingawa ni mkali,jitoe muhanga ingawa mshua hatabiriki.Kwa baba yake ninaingiaje pale?
Kwa baba yake ninaingiaje pale?
Kila La Heri Mkuu,bila Shaka Utaulamba U D C Ukifanikiwa katika hizo ndoto zako za alinachaKwanini mkuu?
Nimejipanga kuona pale
Atamuoaje Dada yake?Bashite angekuwa hajaoa angekabidhiwa hiyo zawadi
Hao wazee kuwapata sasa ndio mtihani!!Mkuu General Mangi, kukusaidia:
1) Tafuta wazee wenye hekima (akina Mkapa, Mramba, Yona, Desamburo na Mbowe), hawa wazee wapeleka posa kwa mshua.
2) Jipange kwa kutangaza dau kubwa la ng'ombe kwa mshua hata kama kwa ahadi ila uwe na kianzio.
3) Wakishaenda kumuona mshua na kuongea mambo ya kifamilia, utaweza kupata nafasi ya kumuona na kama toto yule wa kisukuma ataridhia kuwa mke ya Mangi mapesa msomi basi mchezo utakuwa umeushinda.
Ni hayo tu kwa sasa!!
sio ndoto mkuu, NINAWEZAKila La Heri Mkuu,bila Shaka Utaulamba U D C Ukifanikiwa katika hizo ndoto zako za alinacha
Kwakweli ni mrembo aiseeView attachment 506279 Sijui nitampatia wapi kumweleza, Sijui nitaipata wapi namba yake angalau anifahamu.
Popote ulipo Jesca, napenda ufahamu kwamba kuna kijana wa kichaga, Mangi kamili anahangaika usiku na mchana kutafuta mawasiliano yako.
Ni kijana mtanashati, anaelimu ya kutosha na cheti halali tena cha enzi za Ndalichako.
Tafadhali wandugu, nisaidieni nitampataje Jesca.
Msihofu kuhusu Baba mkwe, nimejiandaa kwa Mashambulizi.
General Mangi
Daslam.
Hahaha mkuu kama sijakusoma vile [emoji23][emoji23]nikipata huyu lazima nitoboe spika.