Huyu hapa Jesca John Magufuli

Huyu hapa Jesca John Magufuli

AISEE MEMBER MUNGU AKUBARIKI SANA MKUU, KULA GWALA! umenena ukweli na uweledi wa hali ya juu!
Tatizo nimuda kasoma muda gan hadi asaiv awe mwaka wapili chuo kikuu tena anaingia watatu October
 
Yaani mnavyo attack Magufuli ni saw na wale walio zamani fikiria watamtoa mkoloni kwa maji.. Kila mnavyo ponda ndio kwanza anaendelea kufanya kazi MHESHIMIWA RAIS USIANGALIE HAYA YaNAYOENDELEA HUMU JF...NI WALE WENYE WALIOGUSWA DIRECT AND INDIRECT.
...Ni wale waliofukuzwa kny ulaji wao ama shule......ENDELEA NA JOB MKUU TENA BILA WASI WASI?.HII JAMII FORUMS NI PARCENT NDOGO IN THE WHOLE POPULATION OF Tanzania....... VICHWA MAJI HAWA KU MBULY MTOTO WA WATU LEFT AND RIGHT.. KUTOA FRUSTRATION ZENU....NA BADO MKUU ATAENDELEA KUTUMBUA VIJIPU UCHUNGU VYENU!!!TENA RAIS UKIANZA KUTOA VIJIPU UANZE NA JAMIIo FORUMS HAIWEZEKANI MTOTO WATU KUKOSA USINGIZI KWA AJILI YAO.......SOMETHING HAS TO BE DONE... Nchi yet ni ya Amani
 
13b6b86eadd1eac0ee710af270a9c456.jpg
 

Attachments

  • 1465753025858.jpg
    1465753025858.jpg
    53.5 KB · Views: 146
kwa wanaoshikia mabango matokeo ya wengine mbona hamuonyeshi yenu
 
Vp kuna mwenyenamba zake maana mmh

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Sijui nitampatia wapi kumweleza, Sijui nitaipata wapi namba yake angalau anifahamu.

Popote ulipo Jesca, napenda ufahamu kwamba kuna kijana wa kichaga, Mangi kamili anahangaika usiku na mchana kutafuta mawasiliano yako.

Ni kijana mtanashati, anaelimu ya kutosha na cheti halali tena cha enzi za Ndalichako.

Tafadhali wandugu, nisaidieni nitampataje Jesca.
Msihofu kuhusu Baba mkwe, nimejiandaa kwa Mashambulizi.

General Mangi
Daslam.
 
Back
Top Bottom