ahahaha sasa mkuu watoto wa viongozi walio mashuhuri na wa kuu wa nchi hawaolewi?Haya, mchimba kaburi huingia mwenyewe.
mkuu Ngosha na Mangi hawana ugomvi wowoteeBahati mbaya jina lako la Mwisho litakuwa kikwazo kumpata mtoto J
Kwanini mkuu?unachezea sharubu za babu
Ohoooo!!!nikipata huyu lazima nitoboe spika.
Hahahahahahahahaha "Nimesameheee" je mlikosa nini?mkuu Ngosha na Mangi hawana ugomvi wowotee
Hawezi muoa, huyo ni sawa na dada yake.Bashite angekuwa hajaoa angekabidhiwa hiyo zawadi
Akikujibu fanya kuntag mkuu.w
ewe si ndoa bado mpya hahah au unatoboa kulipiza kisasi?
mkuu nikijua ni mchumba wa mtu basi naangalia ustarabu mwingineHahah walimwengu hawaishi visa,unadhani huko aliko yuko free tu anakusubiria wewe,unatangazaje uchumba kwa mchumba wa mtu