Huyu hapa Jesca John Magufuli

View attachment 506279 Sijui nitampatia wapi kumweleza, Sijui nitaipata wapi namba yake angalau anifahamu.

Popote ulipo Jesca, napenda ufahamu kwamba kuna kijana wa kichaga, Mangi kamili anahangaika usiku na mchana kutafuta mawasiliano yako.

Ni kijana mtanashati, anaelimu ya kutosha na cheti halali tena cha enzi za Ndalichako.

Tafadhali wandugu, nisaidieni nitampataje Jesca.
Msihofu kuhusu Baba mkwe, nimejiandaa kwa Mashambulizi.

General Mangi
Daslam.
umempendea nini huyo manzi?! mbona sura mbovu!?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
madhara ya kua kiioo cha jamii sasa ukimkosa si utamvizia umbake (nawaza tu)
 
  • Thanks
Reactions: SDG
View attachment 506279 Sijui nitampatia wapi kumweleza, Sijui nitaipata wapi namba yake angalau anifahamu.

Popote ulipo Jesca, napenda ufahamu kwamba kuna kijana wa kichaga, Mangi kamili anahangaika usiku na mchana kutafuta mawasiliano yako.

Ni kijana mtanashati, anaelimu ya kutosha na cheti halali tena cha enzi za Ndalichako.

Tafadhali wandugu, nisaidieni nitampataje Jesca.
Msihofu kuhusu Baba mkwe, nimejiandaa kwa Mashambulizi.

General Mangi
Daslam.
Jesca ana moyo wa ki Rasta mangi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom