Huyu, HANAGA Mpinzani BONGO NZIMA

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,781
4,040
305901_493865240654303_791731685_n.jpg
 
Kishalu

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,173
704
Anasema ikulu ni mahali patakatifu na anayekimbilia Ikulu kwa rushwa aogopwe kama ukoma
 
Ngekewa

JF-Expert Member
Jul 8, 2008
7,708
1,282
Lakini na Tanzanite yetu isingekuwa imeibwa yote

Mwanzo wa wizi ni yeye Baba yetu kutuachia tuibe na kufilisi mashirika ya umma. Tusidanganywe na wanasiasa uchwara huyu mzee aliburunda na kila kiliopo sasa kilikuwa na msingi kutoka kwake, kuanzia amani, dictatorship, plunder, magendo na kila kitu kiwe kibaya au kizuri.
 
Taso

JF-Expert Member
Jun 12, 2010
2,352
2,031
Anasema ikulu ni mahali patakatifu na anayekimbilia Ikulu kwa rushwa aogopwe kama ukoma
Mbona yeye alipakimbilia? Au yeye alikuwa amekaa nyumbani kwake Magomeni watu wakaja kumwomba kumtawaza kuwa Rais?

Na hata tukisema yeye hakupenda kukimbilia Ikulu, ilikuaje kuaje ang'ang'anie Ikulu miaka 24, alikuwa kila baada ya miaka mitano "anaombwa na wazee"?
 
St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,403
3,932
Mbona yeye alipakimbilia? Au yeye alikuwa amekaa nyumbani kwake Magomeni watu wakaja kumwomba kumtawaza kuwa Rais?

Na hata tukisema yeye hakupenda kukimbilia Ikulu, ilikuaje kuaje ang'ang'anie Ikulu miaka 24, alikuwa kila baada ya miaka mitano "anaombwa na wazee"?

Nakuomba sana umsome Abdulwahid Sykes labda utabadilisha kauli yako....
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
43,203
25,648

Nikimuona nakumbuka unga wa ngano, nakuvaa nguo za viraka pamoja ukandamizaji wa uhuru wa vyombo vya habari. Huyu Mwl alitawala kundi la wajinga toka mwaka 1960 wananchi wake walikuwa hawajawahi kuona TV wala kufanya mijadala kama hivi. Enzi zake ukikutwa na dola 50 utajuta lazima uende jela.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Top Bottom