Msigwa si mchungaji Leo chawa. Kesho mpinzani

Msigwa si mchungaji Leo chawa. Kesho mpinzani

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,100
Reaction score
13,698
Kuna makosa yanafanywa kuwaita wachungaji. Peter Msigwa ni mmojawapo. Leo chawa. Kesho mpinzani.

Haya wasisi wa ngawira kupitia joho la uchungaji. Hawafai. Tueazomee na tusiwaheshimu wala kuwaamini. Ni matapeli ya kawaida.
 
Ishu ya kuhama haka chama ni suala lake binafsi na utashi wake; Uchangaji ataendelea kua nao tuu. Mbona hata Masanja Mkandamizaji ni Mchungaji. 😊
 
Kuna makosa yanafanywa kuwaita wachungaji. Peter Msigwa ni mmojawapo. Leo chawa. Kesho mpinzani.

Haya wasisi wa ngawira kupitia joho la uchungaji. Hawafai. Tueazomee na tusiwaheshimu wala kuwaamini. Ni matapeli ya kawaida.
J.Selasini anakwenda kuiba nafasi ya kiti cha mwenyekiti wa chadema Taifa as soon asa possible,

P.Msigwa anakua mjumbe maalumu kamati kuu ya chadema taifa as soon as possible :BASED:
 
Back
Top Bottom