Huyu dogo sijui alipewa adhabu gani

Huyu dogo sijui alipewa adhabu gani

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
1,066
Reaction score
454
Dogo anaongeza vionjo kwa kitoweo kuku wa IDD.
 

Attachments

  • kls-wmk.jpg
    kls-wmk.jpg
    46.4 KB · Views: 1,125
aalikuwa anongeza chumvi aina ya kimiminika....
 
watakuwa walimgawana. Lakini kibongo bongo hakimwagwi kitu hapo.
 
Kwa nini wanapika bila kufunika??????
Dogo yupo kwenye burudaniiiiiii, shaka hana,
tabasamu kwa kwenda mbele.
 
Mkojo hauna noma mbona...wengine wanakunywa mikojo yao eti tiba (mshamasahau mama Terry mara hii)! Kama ni mwanangu hapo huyo kuku analika tuu!
 
Mkuu si unajua hali ya uchumi saizi ngumu sana? huku kwa vijiji uapatikanaji wa chumvi umekuwa mgumu kaka hali ni mbaya... chumvi kibaba kimoja mia tano...
mi nahisi mama ake alimwambia afanya mpango wa kuongeza chumvi hapo..so hamna kichapo!! ukizingatia mkojo wa mtoto harufu yake sio kali kama ya mtu mzima... huo mchemsho uataenda tu kaka
 
Anaongeza chunvi yenye madini joto mwilini!
 
dah! mtoto kama huyo unaweza ukahisi ana laana ya kurithi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom