Vijana wa kitanzania jamani kweli tutafika?

Vijana wa kitanzania jamani kweli tutafika?

Olmo

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2026
Posts
560
Reaction score
1,137
Niko kanisa fulani nimekuja kwa purpose yangu binafsi bahati nimekuta mafundisho sasa nimeona nikae nisikilize halafu niseme shida yangu.

Kuna kijana miaka kama 20+ anahubiri nasikia wachawi hawawezi kukuroga mara una nguvu za Mungu. Sasa najiuliza hapa chini tumekaa na wamama watu wazima kabisa na huyo dogo anatufundisha dhidi ya kuwashinda wachawi!

Huyo dogo ana experience gani na wachawi? Na ukimwangalia huyu hata rais haramu wa malawi hamjui hata jina lake kabisa. Je ndio hawa tuwategemee kabisa?
 
Fata kilichokupeleka, mengine kuyawaza ni kujipa mzigo
 
Back
Top Bottom