Huyu dogo sijui alipewa adhabu gani

Khaaaa!ww dogo omba mungu mama asijue akauona utakula kichapo cha mbwa mwizi,kuku mwenyewe kapatikana kwa hela ya mchezo lol!mtoto una balaa ww ngoja wakikate hiko kidude utajua namna ya kukifunika!
 
Mkojo hauna noma mbona...wengine wanakunywa mikojo yao eti tiba (mshamasahau mama Terry mara hii)! Kama ni mwanangu hapo huyo kuku analika tuu!

nakubaliana na wewe mkojo hauna noma ila dogo ukimuachia siku nyingine mtajikuta mnapika wali na mavi ndani..! yani huyo ni wa kumpa kipigo cha kufa mtu hadi siku nyingine akiona sufuria anakimbia mwenyewe.....!
 
aliamua kuwakwaza wenzake wasile ili ale peke yake, au walimpiga stop asile akaamua better wakose wote.
 
Makosa ya kutofunika. Watto wa cku hizi ni watundu saaana. So alijaribu kautundu. Kake pale baada ya kuona chakula wazi, but wanasema mkojo ni dawa so no pr
 
kama ni mama wa kambo ndo mcmamizi wa show nzima uyu dogo lazima achomwe moto ako ka dudu kake
 
Back
Top Bottom