Huyu dogo Hana Miaka 14. Wadanganyeni Wengine!

Huyu dogo Hana Miaka 14. Wadanganyeni Wengine!

Hakukuwa na vipimo vya umri?
Maana huwa vinatumika kabla ya kuanza kwa mashindano husika
 

Sasa hapo kosa la hawa madogo ni lipi?

Ndo maana nasema kuwashambulia hawa madogo personally wakati they have nothing to do with it ni sawa na mtu kukutukana wewe kwa ujinga wa ccm.
 
FB_IMG_1780603869945.jpg
FB_IMG_1780603834193.jpg

Mbona jambo la kawaida bongo kipindi onyango anakuja simba alikua na miaka 25
 
Back
Top Bottom