Huyu dogo Hana Miaka 14. Wadanganyeni Wengine!

Huyu dogo Hana Miaka 14. Wadanganyeni Wengine!

Niliwahi kufanya kazi kwenye academy moja hapo nchini tanzagiza, kuna mwamba ana miaka 30 na yupo timu ya under 20 mwaka wa nne huu.

Yani ukiwa na mwili mdogo, huna ndevu, bc imeenda hiyoooooooooo
mimi kuna mwamba nilisoma naye Primary eti now yupo under 20 mimi now nina 30+
Africa uongo kila mahali
 
Yawezekana akawa na umri huo,watoto wa siku hizi kawaida!! Na timu zote maumbo ni hayohayo tu.

BTW: Yule binti mraibu wa miaka 15 aliyekuwa akitafutwa mmemuona full picture? Ni mshangazi mtupu.
 
Unataka kusema nini Maxi?
Screenshot_20260515-152032 (1).jpg
 
Back
Top Bottom