Huyu dogo Hana Miaka 14. Wadanganyeni Wengine!

Huyu dogo Hana Miaka 14. Wadanganyeni Wengine!

Hizi Mambo kwenye mpira zipo sana.

Kitmbo hicho nacheza mpira ligi ya Mkoa nilisajiliwa na miaka 17 wakati nilikuwa na miaka 25 kiuhalisia.
 
Siku hizi JF imekuwa ya wambea na mabwabwa kibao

Badala mtu alete ushahidi kusapoti mashaka yake anapiga umbea

Au matoto ya Instagram, Facebook na X yamehamia na huku?

Porojo porojo tu ujinga mtupu

hivi hapo bado patafutwe ushahidi?
 
Nilipata ukakasi na umri wa hawa vijana nikaa kimya cz watasema sio mzalendo...nna mtoto ana 16 yrs ukimueka na huyu aisee huyu ni bro kabisa kwa mwanangu...sio ukubwa wa mwili no, mwangalie tu
Mtoto huo umri ni form two or one ...huyu ukimuweka hivo vidato ana fit kweli?
 
Kuna yule aliyekosa penati ya kwanza yaani kanyoa ndevu mapele kibao kuna kashifa itakuja huko mbele.
 
Back
Top Bottom