Huyu dogo Hana Miaka 14. Wadanganyeni Wengine!

Huyu dogo Hana Miaka 14. Wadanganyeni Wengine!

Weka picha.
Screenshot_20250222-123042.png
 
Hawa vijana baadhi wana umri sahihi. Nikikumbuka Kijana wangu wakati ana miaka 17, ukimuuliza mtu asiyemfahamu angesema ana miaka 20+
Na hapo alikuwa hachezi mpira kivile au kufanya mazoezi mfululizo, huku wakipewa vyakula maalum vya kuijenga miili yao.
 
Back
Top Bottom