Huyu dada leo kanichana ukweli

Sawa nitai- consider.

But am sure sinuki kwapa.
You are in denial. Kikwapa chako umekizoeana ni sehemu ya harufu yako usionusa. Sio rahisi mtu kujua ana kikwapa au domo lake linanuka. Kwa usikatae kuwa huna kikwapa!
 

[emoji23][emoji23][emoji23] ebanae
 

Unaweza weka picha mkuu ya hizi mambo,
 
Unaweza weka picha mkuu ya hizi mambo,
Karibu Mkuu
Naziuza 25k tu


Dar unaletewa hadi stand ya daladala.
Mkoani natuma

Invicto wengi wanaisifia sana na ni nzuri mno
Aventos ndio hivyohivyo [emoji91]
Suspenso Aisee hiki kitu mimi nimekielewa mno, Mwanaume ananukia vizuri

Mousuf kigunia,perfume ya taifa.

Aventos unanukia kigentleman.

Ramz hii Kuna mtu humu Jana tu ameichukua na ameipenda mno, na inapendwa na wengi.


Ninazo pia za kupima,
16K mils30
 
Mbadala wa deodorant ya nivea for men unashauri ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…