Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Ya kupima ikifika saa 6 inanuka kama rungu dawa ya mbuYa 30000 labda ya kupima ambapo kwa perfume ya maana utapata mls.10
Ya kupima ikifika saa 6 inanuka kama rungu dawa ya mbuYa 30000 labda ya kupima ambapo kwa perfume ya maana utapata mls.10
Mawasiliano mkuu tukuibukie.DSM
Mkoani natuma
Inategemea umepimiwa ipi mkuu. Wapo wanaopima fake. Ila wapima OG wapo.Ya kupima ikifika saa 6 inanuka kama rungu dawa ya mbu
He is deadUnanuka kama beberu na joto hili unamuapproach mtoto wa watu utakuja kumtapisha bure...Be smart

Intense man deluxe edition hiyo, 30000Ninazo perfume kali sana za kike na kiume, nakushauri uchukue Intense Man ila ile Dulexe Edition, inanukia mno, ama Icon.
WhatsApp 0753669856View attachment 2512080View attachment 2512081
Hadi pafyumu ya kinyakyusa aisee![]()



You are in denial. Kikwapa chako umekizoeana ni sehemu ya harufu yako usionusa. Sio rahisi mtu kujua ana kikwapa au domo lake linanuka. Kwa usikatae kuwa huna kikwapa!Sawa nitai- consider.
But am sure sinuki kwapa.
Achukue na escada magnetism weeeh atatusimulia. Plus savage Dior Kwa wanaume unanukia kuliwaliwaJiongeze uchukue angalau CREED AVENTUS YA 50K utanipa mrejesho
Ndugu zangu itabidi mnielekeze wapi napata Pafyum a.k.a Unyunyu wa kushantoo. Kilichonipata leo kimenibadili.
Kama kawaida leo jioni natoka maskani naingia mtaa kidogo- lengo kunyoosha misuli, kupunga upepo na kutazama uumbaji nitakao kutana nao.
Nikakutana na huyo binti, mzuri kawaida, kapendeza zake.
Nikawaza kwanini nisifanyie mazoezi uwezo wangu kutongoza niliofundishwa na Mwalimu wangu, Jacksonian.
Basi nikamsogelea binti wa watu,. Salamu, kisha blaablaa kadhaa (ambazo huwa hatuzikumbuki hata tulisema nini).
Binti alikuwa anaonesha ushirikiano wa kawaida, kama ilivyokawaida yao.
Basi nikaona nisipoteze muda ngoja niamie kwenye kile kipengele muhimu zama hizi( kuomba namba).
Nilivyomuomba tuu namba, binti akafikiria kama dakika 1.
Ile nataka kufungua mdomo ili nikazie zaidi.
Ghafra binti akasimama, kama vile kasahau kitu. Akaniuliza unaitwa nani rafiki, nikamjibu kama vile sikumwambia hapo awali.
Akaanza "MaT2B unatumia pyafum gan?" Nikajifnya kuuliza mbona mimi sijapulizia leo pafyum."
Yeye: Why?
Mimi: Nimetoka kuoga sasa hivi, sijaona haja ya kupulizia.
Yeye: No, no. Tafuta pafyum nzuri, the next day you approach a lady, make sure unanukia harufu nzuri ya pafyum. Itakuongezea point, mvutie mtu kwa harufu yako.
Mimi: ..........
Yeye: and I don't mean unanukia vibaya, no, sijanusa harufu yoyote kutoka kwako.
Mimi: But sio kwamba huwa sijipulizi ila nimependa tuu kuwa out of pafyum leo.
Yeye: ok you gotme, and am sorry, taken already. Do what i told you en you will find a beautiful lady.
Nikawa sina neno, nikamwambia Ok goodnight.
Nikabaki kumuona mtoto mzuri ana ambaa ambaa huyo.
Kwa fedheha niliyopata, nikaamua haraka nimpigie demu angu, Jesca. Hajali haya mambo. Kwanza kale la body spray kangu huwa anang'ang'gana nimnunulie na yeye.
Ila wakuu nipeni jina la pafyum nzuri kwa hela yangu isiyozidi 30K. Sina gari, hata kunukia vizuri nisinukie kweli?


ebanaePole sana Mkuu kwa fedheha
Njoo nikuuzie perfume kwa 25k tu.
Zipo nyingine 15k oil perfumes.
Anza na Black Opium,
Chukua Creed Aventus
Chukua Mousuf.
Chukua Sauvage
Chukua Invictus.
Hizo ni Basic ati ambazo mwanaume hutakiwi kukosa .
Nimezipanga kwa preference yangu.
Ukiwa nayo moja katika hizo hakuna mtu atakuchomolea.
Siku hizi Kuna hata za kupima tu unapata Kwa bei cheese kulingana MLS unazotaka na kipato chako. Sio lazima uchukue mls kubwa za bei ghali. Tafuta za mls ndogo Kwa bei ndogo afu fanya cocktail. Utanipa majibuUnaweza weka picha mkuu ya hizi mambo,
Karibu MkuuUnaweza weka picha mkuu ya hizi mambo,

Mbadala wa deodorant ya nivea for men unashauri ipi?Pole sana Mkuu kwa fedheha
Njoo nikuuzie perfume kwa 25k tu.
Zipo nyingine 15k oil perfumes.
Anza na Black Opium,
Chukua Creed Aventus
Chukua Mousuf.
Chukua Sauvage
Chukua Invictus.
Hizo ni Basic ati ambazo mwanaume hutakiwi kukosa .
Nimezipanga kwa preference yangu.
Ukiwa nayo moja katika hizo hakuna mtu atakuchomolea.