Naunga mkono hoja akishindwa kabisa akanunue hata ya kichupa cha kupima.Jiongeze uchukue angalau CREED AVENTUS YA 50K utanipa mrejesho
Za kupima huwa zinaisha saa 5 asubuhi mkuuNaunga mkono hoja akishindwa kabisa akanunue hata ya kichupa cha kupima.
Inaumiza sana.Hii mambo inaathiri saikolojia balaaa.... Kuna mwamba ni m anasheria aliambiwa na mwanamke anayempenda kuwa ana show poa ila ana kiharufu fulani- since hapo jamaa hajawahi kupona akili ,na anatembea na perfume zaidi ya 10 zabei ghali balaa na anajinyunyuzia kama maji
Haya mambo yanahitaji umakini mno
Vijana tunajitahidi kulipa kodi, mzitumie kwa Adabu.Hakika andiko hili linasadifu wanayofanya vijana wa kitanzania kukuza uchumi wa Taifa letu. Mimi binafsi naona hata hili ni juhudi za serikali yetu chini ya uongozi wa mama suruhu hasani samia. Mimi nawaambieni mambo anayofanya mama huyu ni makubwa sana
Tofauti ya Creed Aventus ya kupima na bayo ipo ready kwa chupa yake ni ipi ni hora na priceTag zake zipojeNaunga mkono hoja akishindwa kabisa akanunue hata ya kichupa cha kupima.
Limao na deodorant ni kwa ajili ya kwapani tu Mkuu.Kwamba nikinunua pafyum napuliza asbh tuu?

Asante.Limao na deodorant ni kwa ajili ya kwapani tu Mkuu.
Kabla hujaoga asubuhi unajimassage kwapani na limao
Jioni pia unajimassage na limao kwapani.
Limao linasaidia kukata harufu ya jasho la kwapa.
Nunua deodorant pia.
Hii hapa unapaka ukishaoga.
Unapaka kwapani.
Deodorant inaleta harufu nzuri kwapani na inakata harufu ya jasho na inapunguza jasho kutoka kwa kasi.
Then sasa utatumia na perfume utakazokuwa umenunua.
Utakuwa smart sana![]()
Nipo nipo, ubusy kiasi ila I'm inSiku hizi umeadimika jukwani.
Inategemea na mills kwa yakupima na mahali tofauti ni bei.Anza na ya shing80.Tofauti ya Creed Aventus ya kupima na bayo ipo ready kwa chupa yake ni ipi ni hora na priceTag zake zipoje
Tafuta perfume inaitwa mwanafyale![]()

Tofauti yake ni ujazoTofauti ya Creed Aventus ya kupima na bayo ipo ready kwa chupa yake ni ipi ni hora na priceTag zake zipoje