92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,425
- 17,063
Hapa ndio tatizo lilipoanziaMkuu mimi si nukii kama beberu.
Naoga mara kwa mara
Navaa nguo Safi
Nakula vizuri,
Nakunywa maji ya kutosha
Nanina piga zoezi.
Hapa ndio tatizo lilipoanziaMkuu mimi si nukii kama beberu.
Naoga mara kwa mara
Navaa nguo Safi
Nakula vizuri,
Nakunywa maji ya kutosha
Nanina piga zoezi.
Nashauri hii hapaMbadala wa deodorant ya nivea for men unashauri ipi?

Bei na mawasiliano yakoNashauri hii hapa
Ni Deodorant nzuri mno na inakaa muda mrefu,unaweza tumia hata miezi mi4 haijaisha.
Pia haikomazi kwapa na nguo.View attachment 2513666
Nivea for womenMbadala wa deodorant ya nivea for men unashauri ipi?
Hizi deodorant Kwa sasa sina ila zinauzwa 20Bei na mawasiliano yako
Hiyo Ramz Lattafa unyama na nusuKaribu Mkuu
Naziuza 25k tu
Dar unaletewa hadi stand ya daladala.
Mkoani natuma
Invicto wengi wanaisifia sana na ni nzuri mno
Aventos ndio hivyohivyo
Suspenso Aisee hiki kitu mimi nimekielewa mno, Mwanaume ananukia vizuri
Mousuf kigunia,perfume ya taifa.
Aventos unanukia kigentleman.
Ramz hii Kuna mtu humu Jana tu ameichukua na ameipenda mno, na inapendwa na wengi.
Ninazo pia za kupima,
16K mils30View attachment 2513646View attachment 2513647View attachment 2513650View attachment 2513652View attachment 2513653

Ni hatari na nusuHiyo Ramz Lattafa unyama na nusu![]()


Aisee! Hii nadhani unapatikana nayo wewe mwenyewe mkuuTafuta perfume inaitwa mwanafyale![]()
Hivi issue za forever living vado wapo? Maana mtaani huu mwaka wa 2 sijawah kutana na mpiga domo wa forever living tofaut na hapo nyumaChukua 25th edition ya forever living.
Hiyo hata kama ni domo zege utakula mbususu mpaka ukimbie na kaa mbali na wake za watu maana utawagonga sana ni kama ina kauchawi flani ambako hupumbaza medula za wadada
Sidhani kama bado zipo ila bidhaa zao bado zipo kwenye maduka makubwa yote unazipataHivi issue za forever living vado wapo? Maana mtaani huu mwaka wa 2 sijawah kutana na mpiga domo wa forever living tofaut na hapo nyuma
Chukua degree for men. Mie ndio deodorant yangu miaka yoteMbadala wa deodorant ya nivea for men unashauri ipi?
Yah hii nayo nimeshaitumia ingawa binafsi sijaona mpinzani wa degree.Nashauri hii hapa
Ni Deodorant nzuri mno na inakaa muda mrefu,unaweza tumia hata miezi mi4 haijaisha.
Pia haikomazi kwapa na nguo.View attachment 2513666
ungemuimbia nyimbo ya diamond (yatapita) angekubali hapohapo..!Ndugu zangu itabidi mnielekeze wapi napata Pafyum a.k.a Unyunyu wa kushantoo. Kilichonipata leo kimenibadili.
Kama kawaida leo jioni natoka maskani naingia mtaa kidogo- lengo kunyoosha misuli, kupunga upepo na kutazama uumbaji nitakao kutana nao.
Nikakutana na huyo binti, mzuri kawaida, kapendeza zake.
Nikawaza kwanini nisifanyie mazoezi uwezo wangu kutongoza niliofundishwa na Mwalimu wangu, Jacksonian.
Basi nikamsogelea binti wa watu,. Salamu, kisha blaablaa kadhaa (ambazo huwa hatuzikumbuki hata tulisema nini).
Binti alikuwa anaonesha ushirikiano wa kawaida, kama ilivyokawaida yao.
Basi nikaona nisipoteze muda ngoja niamie kwenye kile kipengele muhimu zama hizi( kuomba namba).
Nilivyomuomba tuu namba, binti akafikiria kama dakika 1.
Ile nataka kufungua mdomo ili nikazie zaidi.
Ghafra binti akasimama, kama vile kasahau kitu. Akaniuliza unaitwa nani rafiki, nikamjibu kama vile sikumwambia hapo awali.
Akaanza "MaT2B unatumia pyafum gan?" Nikajifnya kuuliza mbona mimi sijapulizia leo pafyum."
Yeye: Why?
Mimi: Nimetoka kuoga sasa hivi, sijaona haja ya kupulizia.
Yeye: No, no. Tafuta pafyum nzuri, the next day you approach a lady, make sure unanukia harufu nzuri ya pafyum. Itakuongezea point, mvutie mtu kwa harufu yako.
Mimi: ..........
Yeye: and I don't mean unanukia vibaya, no, sijanusa harufu yoyote kutoka kwako.
Mimi: But sio kwamba huwa sijipulizi ila nimependa tuu kuwa out of pafyum leo.
Yeye: ok you gotme, and am sorry, taken already. Do what i told you en you will find a beautiful lady.
Nikawa sina neno, nikamwambia Ok goodnight.
Nikabaki kumuona mtoto mzuri ana ambaa ambaa huyo.
Kwa fedheha niliyopata, nikaamua haraka nimpigie demu angu, Jesca. Hajali haya mambo. Kwanza kale la body spray kangu huwa anang'ang'gana nimnunulie na yeye.
Ila wakuu nipeni jina la pafyum nzuri kwa hela yangu isiyozidi 30K. Sina gari, hata kunukia vizuri nisinukie kweli?