Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
Nimekuletea collection ya Black OpiumNdugu zangu itabidi mnielekeze wapi napata Pafyum a.k.a Unyunyu wa kushantoo. Kilichonipata leo kimenibadili.
Ila wakuu nipeni jina la pafyum nzuri kwa hela yangu isiyozidi 30K. Sina gari, hata kunukia vizuri nisinukie kweli?
Ina perfume,Shower gel na lotion
Vyote hivyo unavipata kwa 30k tu!
Karibu sana