Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 6,875
- 17,199
Uko sahihi sana hapa, partnership ninayo izungumzia mimi siyo hii ya kugawana kila senti pasu kwa pasu (50/50), bali ni ile resource optimization.Najaribu kufikiria hii concept nakosa jibu,
Maana inalenga usawa, ila in real life ni kuwa Fanya men wawe complacent kwenye mfumo usio imara...
Yaani hata kibaolojia hai make any sense.
Mwanamke imara ni yule mwenye nurturing qualities... Je ndo hawa wanaotaka na sisi Twende tu katafte ugali, na wao waende alaf yangu ije igawanwe pasu huku yake ikenda mfukoni?
We should start with things like that first uone kama hao wanawake imara watakubali
Tupe definition ya partnership kama umeikataa hii.Hiyo sio partnership hiyo ni demolishing of masculinity, Alafu ndo silaha pekee wanao itumia feminists kumfanya mwanaume ajihisi yu sawa na mwanamke kuanzia psychologically mpk physically
Jamii za kiafrika bado ni jamii zinazotawaliwa na mfumo dume by far, walau asilimia zaidi ya nusu.Patriarchy ni tofauti na ilivyo sasa. Patriarchy ilimpa fursa zote mwanaune hivyo ikamtaka awe main character.
Unayoyaona ni mabaki na madhara ya patriachy yenyewe, Jamii ina evolve bado hatujaifuta Patriarchy na hatujaifikia feminist walau kwa 70%Kwa sasa fursa zimegawanywa na kwa wanawake pia lakini bado mwanaume hajaondolewa huo mzigo wa kuwa main character. Feminist mnataka usawa wa kijinsia kwenye vipengere vinavyowanufaisha, lakini usawa huo huo mnaukataa pale unapowataka muwajibike
Gunner pia anataka fully masculinity dominance, with less wajibu… msome vizuri.Uko sahihi sana hapa, partnership ninayo izungumzia mimi siyo hii ya kugawana kila senti pasu kwa pasu (50/50), bali ni ile resource optimization.
Mwanaume yeyote mwenye akili hawezi kukubali mfumo wa aina hiyo ambao yeye anavuja jasho na mwenzake anachopata anahifadhi chake pembeni.
Mwanamke ninayemzungumzia mimi kwenye partnership ni yule anayechangia kwenye family wealth, kama anataka usawa, usawa uanzie kwenye kugawana mzigo wa majukumu ya nyumbani kulingana na uwezo wa kila mmoja, ukiona hataki hilo huyo siyo partner.
Mwanaume usikubali kuingia kwenye mtego wa complacency kama hataki kuchangia, hiyo inaku-qualify wewe kuwa na full control ya maamuzi ya kifedha.
Hauwezi kuleta usawa kwenye haki, halafu ukaacha usawa kwenye wajibu.
Hii ndiyo sababu ya huu mfumo wetu kufeli.Gunner pia anataka fully masculinity dominance, with less wajibu… msome vizuri.
Sahihi kabisa, umeeleza nilicho kieleza kwenye post #164.Tupe definition ya partnership kama umeikataa hii.
Jamii ili i balance inahitaji mtawala na mtawaliwa, lakini kutumia mabavu sio practical na hakina afya na ndio matokeo yake huu mvutano.
Ili utawale jamii ya kisasa kama tuliyonayo sasa lazima uwe na nguvu ya ushawishi sio mabavu.
Tukisema usawa hatumaanishi sote tuvae sketi tunamaanisha ushirikishwaji.
Endeleeni kuburuzana tuone kama tupata matokeo chanya/ustawi walau kwa 20% Kikawaida binadamu huwezi mburuza maisha yake yote, Hata watoto wako waburuze uone kama hawaja kuhama nyumbani au angazia nyanja zote ambazo kuna ukandamizaji nitajie iliyofanikiwa walau kwa 50%
I’m more of a solutions na sio mivutano/lawama.
Mfume dume tayari umeshatokomezwa kwenye jamii nyingi zaidi Afrika. Kinachotokea kwa sasa ni wanaume kuwa-outperfom wanawake. Ndio maana tunaona wanawake mnataka upendeleo kwa kigezo cha usawa wa kijinsia mfano hizi harakati zenu za mwanamke akiwezeshwa anaweza. Ushapewa fursa sawa na mwanaume kwanini unataka upendeleo wa kiwezeshwa?Jamii za kiafrika bado ni jamii zinazotawaliwa na mfumo dume by far, walau asilimia zaidi ya nusu.
Unayoyaona ni mabaki na madhara ya patriachy yenyewe, Jamii ina evolve bado hatujaifuta Patriarchy na hatujaifikia feminist walau kwa 70%
Unajua ndo maana nikasema tuko pamoja, ila hao wenyewe (wanawake) wanaelewa vinginevyo, wao wanachukulia like it's a 50 kwa 50 na bado wao wasi wajibike!Mkuu, umenielewa vibaya, sijasema mwanaume a-step down au aache ku-dominate.
Angalia hili kwa jicho la kiufundi
Kuna dominance of force (kutumia mabavu na ukandamizaji) na kuna dominance of competence (kutumia uwezo na hekima).
Nature haijawahi kusema mwanaume awe dhalimu isipokuwa nature inasema mwanaume awe the navigator, na navigator hawezi ku-navigate meli peke yake wakati wa dhoruba pasipo kuhitaji crew imara.
Mwanamke mwenye akili na imara hawezi kuwa tishio kwa uongozi wako isipokuwa yeye ndiye atakuwa asset inayofanya uongozi wako uonekane imara zaidi.
Ukijaribu ku-dominate kila kitu kwa nguvu utaishia kuchoka, utazeeka haraka, na utatengeneza chuki hata ndani ya nyumba yako lakini ukiwa na dominance of vision unawafanya watu pamoja na mwanamke wako wakuunge mkono kwa hiari yao.
Hii ndiyo dominance bora zaidi ninayo izungumzia.
Hii nzuriWanaume hatuhitaji hizo favor, acha tupambane na hali zetu, mwanaume hahitaji kutambuliwa, yeye utambulisho wake upo bila kuomba kutambuliwa...
Matendo yanasema
binti kiziwi atakuja kusema tena hapa ya kuwa mfumo dume hapa.Mwanamke ninayemzungumzia mimi kwenye partnership ni yule anayechangia kwenye family wealth, kama anataka usawa, usawa uanzie kwenye kugawana mzigo wa majukumu ya nyumbani kulingana na uwezo wa kila mmoja, ukiona hataki hilo huyo siyo partner.
Mwanaume usikubali kuingia kwenye mtego wa complacency kama hataki kuchangia, hiyo inaku-qualify wewe kuwa na full control ya maamuzi ya kifedha.
Hauwezi kuleta usawa kwenye haki, halafu ukaacha usawa kwenye wajibu.
Ni kweli unachokisema ndiyo maana watu wengi wanaona partnership ni ndoto ya mchana.Unajua ndo maana nikasema tuko pamoja, ila hao wenyewe (wanawake) wanaelewa vinginevyo, wao wanachukulia like it's a 50 kwa 50 na bado wao wasi wajibike!
Nakuambia this from experience na ndo wakina Baba levo walikuwa wanasema...
Hawa watu unapojaribu kuwa kind and partner kwao, ndo wanataka kutumia hii to their advantage.. Mwambie mwanamke pesa yake mgawane au asaidie kulipia watoto Karo uone. They don't give a damn, mfumo unawabeba.
Hivi unajua hii kitu chanzo wanasema ni sisi, ila Hapana... Mwanamke kiuhalisia sio provider, na hata akiingia kwenye jukumu hilo anakuwa anajiona kama anaonewa.
We have failed ourselves by not seeing this thing deeper
Unayo ongea wewe yapo sawa kabisa, ila kiuhalisia hawa viumbe hawawezi kukaa katika hiyo position.
Huyo ideal mwanamke imara ndo narcissist namba moja, ukimpa huo mzigo abebe
Mkuu ukisoma post yake hapo #166 , kuna sehemu amegusia suala la ushirikishwaji ambalo mimi ndio ninalo lizingumzia, labda tuwe tunatofautiana maana.binti kiziwi atakuja kusema tena hapa ya kuwa mfumo dume hapa.
Hichi ulicho andika ndo mzizi wa fitina muulize kama ange kuwa yeye angekuwa natimiza hayo uloandika hapo.
The tell us to be that way, ila ukifika mda wa ku-step up wanakimbilia uanamke
Nyie ndio hamjaelewa mada. Ukitaka kutetea hoja kwa kufanyia rejea mfumo dume unakosea kabisa. Patriarchy is no relevant when we apply the vakues of equal opportunity for men and women.Kabisa!!! binti kiziwi alimjibu vizuri sana akaelezea jinsi Mfumo Dume yaani Patriarchy ilivyofanya mwanaume anaonekana ana nguvu ya pesa, nguvu ya maamuzi, nguvu ya kimwili, yuko juu kwenye kila kitu yaani kisiasa, kijamii, kiuchumi, kifamilia yaani yuko juu kwenye kila kitu!!!!
Sasa leo huyo mwanaume anataka atetewe na kuonewa huruma na nani?
Lakini mtoa mada de Gunner ameenda kumkandia na kuandika vitu vingine kabisa!!!
Mkuu tatizo sio la mwanaume, tatizo ni la mwanamke. Ukiongelea patriarchy, feminism au hiyo collaboration ulioiita uko juu. Wajibu wa mwanaume haubadiliki, lazima awajibe na masuala ya provision and protection. Shida ipo upande wa mwanamke ambae bado anapinga patriarchy lakini anazitaka benefits zake kama lifetime provision and protection kutoka kwa mwanaume.Sahihi kabisa, wengi bado wanang'ang'ania migogoro ya miaka ya 90 ili hali dunia imesha-evolve.
Uanaume wa sasa unahitaji emotional Intelligence zaidi kuliko force na uanamke wa sasa unahitaji collaboration zaidi kuliko defiance.
Itapendeza sana kama hili litatambulika na wengi.
Sahihi, na ndiyo maana sisi wanaume ni lazima tuwe na high standards kwenye vetting kabla hatujatangaza collaboration.Mkuu tatizo sio la mwanaume, tatizo ni la mwanamke. Ukiongelea patriarchy, feminism au hiyo collaboration ulioiita uko juu. Wajibu wa mwanaume haubadiliki, lazima awajibe na masuala ya provision and protection. Shida ipo upande wa mwanamke ambae bado anapinga patriarchy lakini anazitaka benefits zake kama lifetime provision and protection kutoka kwa mwanaume.
Hakuna mwanaume anaweza kukataa akisaidiwa na mkewe kulipa bill za nyumbani. Swali linakuja je wanawake hawa hawa na falsasa yao ya "hela ya mwanaume ni ya wote na ya mwanamke ni ya mwanamke pekee yake" wapo tayari na hiyo unayoiita collaboration?
Mkuu unafikiri Rais anaheshimika na kuogopea kwa sababu ya uwepo wake tu kama binadamu? Bila shaka jibu ni hapana. Madaraka akiyonayo ndio yanampa hiyo sifa. Kiongozi ni lazima awe na dominance traits.Kuogopa usawa ni ishara ya uanaume dhaifu unaohitaji support system ya unyonge wa mwanamke ili usimame.
Njoo na pointi nyingine ya msingi kwa sababu uanaume wa kweli hauwezi kubomolewa na usawa.
Mkuu Rais anaheshimika kwa sababu ya institutional power kwa maana ya katiba na sheria, hiyo ni positional authority.Mkuu unafikiri Rais anaheshimika na kuogopea kwa sababu ya uwepo wake tu kama binadamu? Bila shaka jibu ni hapana. Madaraka akiyonayo ndio yanampa hiyo sifa. Kiongozi ni lazima awe na dominance traits.
Dhana ya usawa wa kijinsia inaenda kinyume na asili ya uumbaji. Tutaitetea lakini ukweli ni kwabnba kuna sehemu tulikosea katika kuifanyia implementation.
Nikisema hatujafika peak ya feminist ni pamoja na kutokuelewa suala la usawa wa fursa vs ubaguzi. Ni pamoja na kutokuelewa kuwa fursa zikiwa 20 na wakazipata wanaume tu sababu ya competence na wanawake tukakosa kwasababu ya incompetence si ubaguzi. Kwahivyo kama unaelewa ni kwamba hatujaweza bado kufikia kilele cha feminist, na jamii ambayo haijaelewa feminism to the core ni jamii ambayo inatawaliwa bado na Patriachy, au ina chembechembe hizo.Mfume dume tayari umeshatokomezwa kwenye jamii nyingi zaidi Afrika. Kinachotokea kwa sasa ni wanaume kuwa-outperfom wanawake. Ndio maana tunaona wanawake mnataka upendeleo kwa kigezo cha usawa wa kijinsia mfano hizi harakati zenu za mwanamke akiwezeshwa anaweza. Ushapewa fursa sawa na mwanaume kwanini unataka upendeleo wa kiwezeshwa?
Kwenye harakati zenu za kutaka usawa kuna sehemu mnapotoka kidogo. Mnatafsiri usawa kama ulingano idadi ya wanaume na wanawake kwenye kila kitu. Kitu ambacho hampo sahihi. Usawa maana yake vigezo viwekwe wazi na kila mtu apate nafasi kulingana na uwezo wake.
Mfano kuna wanawake 50 na wanaume 50, na nafasi za kazi zipo 50. Nyie mmekalili usawa wa kijisnia ni lazima wanaume wawe 25 na wanawake 25.kitu ambacho sio sahihi. Usawa hapo ni kuweka vigezo vinavyohitajika na nafasi zitolewe bila kujali jinsia ya mtu. Kwa sababu wanaume wanawa-outperfom wanawake kwenye almost kila kitu sasa hapo wakipata nafasi wanaume 40 na wanawake 10 ndio mnasema ubaguzi wa kijinsia lakini unakuta hao wanaume wamepata nafasi kwa sababu ni competent zaidi.