Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,646
- 9,061
Kuwa makini kijana.
Unataka kumaanisha nini hapa we kijana?Nashukuru kwa baraka zako,nitapeperusha vyema bendera ya JF
Matumizi mabaya ya Neno Sayansi;nilifanya uchunguzi wangu wa kisayansi nimebaini anakaa peke yake.
Asilimia nyingi ya wanawake waliopanga wanalipiwa kodi.Hivi kwani hawezi kuwa hajapangishiwa na mtu? Sio kila mwanamke anaeishi peke yake analipiwa kodi.
Wari iz zis!![emoji1] [emoji15]We mkule tuu
Asilimia nyingi ya wanawake waliopanga wanalipiwa kodi.
Hata kama wana kazi.
Umeuliza swali la msingi sana!Nenda polepole usije ukabakwa.
By the way unamjua aliyempangishia chumba?
Dah..niliogopa sana. Nikajua nitakutana na makalkulas pamoja na makemiko ikweshen ya kufa mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huwa nampigia muda wowote ninaojisikia na hajawahi kunipa excuse yoyote.Amepanga chumba kimoja tu
hahahaha mkuu kwani jf ndo wamekutuma?Nashukuru kwa baraka zako,nitapeperusha vyema bendera ya JF
Wanawake wengi huwa wanapangiwa na wanaume.Usijaribu kutia mbonji wakati hujatia senti kwenye pangoDadavua vizuri ndugu,kifo kinakujaje hapo?.
Aisee, nimecheka sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo kuna kosa moja unataka kukosea, kinga kwenye walet za kazi gn?? acha kwenda kum boa dada wa watu, piha myeku myeku dada wa watu aenjoy, kweli mwenzio aingie gharama za maandaliz ya msosi tena uanze kumuumiza na milambo?? sio feaaaa