Huyu binti simuelewi, anajirahisisha sana

Huyu binti simuelewi, anajirahisisha sana

Kuna binti ni rafiki yangu wa muda mfupi tulikutana kwenye mihangaiko ya kila siku. Sasa amekuwa akinitafuta mida ya usiku ananiuliza naenda lini kumtembelea kwake na nilifanya uchunguzi wangu wa kisayansi nimebaini anakaa peke yake.

Sasa nimekuwa nikimdokeza kuwa nikienda itabidi nile chakula alichonipikia na kawaida yangu nikimaliza kula nalala na yeye anakubaliana nami kwa kila jambo. Dada ni yupo smart kuanzia kichwani mpaka muonekano jambo ambalo linanipa mashaka kwanini anarahisisha mambo hivi haraka haraka.

Mimi nimejipanga nikatie maguu kwake na kinga kwenye wallet ili litakalotokea nisije kujutia baadaye au mnanishauri vipi wazoefu wa hizi mambo nisije kwenda kichwa kichwa nikaibika.
Wanawake nao huwa wanapenda..!!!
We unavyomwambia habari ya kulala kwake, HUJAJIRAHISISHA...???? Bro, hapo mmekutana pipa na mfuniko...
 
Wa2 kama wewe hua nawaita mangenya.sasa weww ulitakaje? Dada wa watu kakuelewa kiasi mpaka kukukaribisha kwake.je angekukatalia ungekuja kutubia? Acha kutudhalilisha eroo! Wanawake nao wana moyo kama weww.hivyo kujirahidisha kwako usimuone changu.

Eti,condom kwenye wallet! Acha ushamba kua gentlemen boya we.
 
Huyo dada kakupenda wewe unaona kajirahisisha wakati kuna wenzio wanaililia hiyo nyapu anawachomole,
Tatizo lenu mnapenda mzungushwe zungushwe weeeeee
 
Hapo kuna kosa moja unataka kukosea, kinga kwenye walet za kazi gn?? acha kwenda kum boa dada wa watu, piha myeku myeku dada wa watu aenjoy, kweli mwenzio aingie gharama za maandaliz ya msosi tena uanze kumuumiza na milambo?? sio feaaaa
Umeongea point na kwa hisia kali sana
 
Kamtafune tu.......!!!
Maana haina jinsi.
 
Back
Top Bottom