Huyu binti simuelewi, anajirahisisha sana

Huyu binti simuelewi, anajirahisisha sana

mchumi tumbo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
830
Reaction score
997
Kuna binti ni rafiki yangu wa muda mfupi tulikutana kwenye mihangaiko ya kila siku. Sasa amekuwa akinitafuta mida ya usiku ananiuliza naenda lini kumtembelea kwake na nilifanya uchunguzi wangu wa kisayansi nimebaini anakaa peke yake.

Sasa nimekuwa nikimdokeza kuwa nikienda itabidi nile chakula alichonipikia na kawaida yangu nikimaliza kula nalala na yeye anakubaliana nami kwa kila jambo. Dada ni yupo smart kuanzia kichwani mpaka muonekano jambo ambalo linanipa mashaka kwanini anarahisisha mambo hivi haraka haraka.

Mimi nimejipanga nikatie maguu kwake na kinga kwenye wallet ili litakalotokea nisije kujutia baadaye au mnanishauri vipi wazoefu wa hizi mambo nisije kwenda kichwa kichwa nikaibika.
 
Kinacho kusumbua ni umri wako wala sio hayo aliyo kubaliana na binti, ukikua kua kidogo +experience utakayokutana nayo kwenye ukuaji huo, utagundua mwanamke nae anahisia kama wewe, anapaswa azionyeshe pale fursa inapojitokeza kama hiyo, utatambua kwamba swala la kujiongeza ni lako, yeye akijitahidi sana ni kukupa viashiria, nne, hiyo akili ya kwamba unatakiwa upite na viaz tupu iache kuanzia leo, awe smart awe intelligent awe zero brain awe vyovyote tambua jambo moja wote wana genye, nenda kafanye kazi
 
me pia nna case kama yake ila sina hizo njia za kisayansi za kugundua kama yupo mwenyewe au anaishi

unaweza kuniazima hizo njia zako za sayansi tafadhali
Huwa nampigia muda wowote ninaojisikia na hajawahi kunipa excuse yoyote.Amepanga chumba kimoja tu
 
Kuna binti ni rafiki yangu wa muda mfupi tulikutana kwenye mihangaiko ya kila siku.Sasa amekuwa akinitafuta mida ya usiku ananiuliza naenda lini kumtembelea kwake na nilifanya uchunguzi wangu wa kisayansi nimebaini anakaa peke yake.Sasa nimekuwa nikimdokeza kuwa nikienda itabidi nile chakula alichonipikia na kawaida yangu nikimaliza kula nalala,na yeye anakubaliana nami kwa kila jambo.Dada ni yupo smart kuanzia kichwani mpaka muonekano jambo ambalo linanipa mashaka kwanini anarahisisha mambo hivi haraka haraka.
Mimi nimejipanga nikatie maguu kwake na kinga kwenye wallet ili litakalotokea nisije kujutia baadaye au mnanishauri vipi wazoefu wa hizi mambo nisije kwenda kichwa kichwa nikaibika.
Hapo kuna kosa moja unataka kukosea, kinga kwenye walet za kazi gn?? acha kwenda kum boa dada wa watu, piha myeku myeku dada wa watu aenjoy, kweli mwenzio aingie gharama za maandaliz ya msosi tena uanze kumuumiza na milambo?? sio feaaaa
 
Kinacho kusumbua ni umri wako wala sio hayo aliyo kubaliana na binti, ukikua kua kidogo +experience utakayokutana nayo kwenye ukuaji huo, utagundua mwanamke nae anahisia kama wewe, anapaswa azionyeshe pale fursa inapojitokeza kama hiyo, utatambua kwamba swala la kujiongeza ni lako, yeye akijitahidi sana ni kukupa viashiria, nne, hiyo akili ya kwamba unatakiwa upite na viaz tupu iache kuanzia leo, awe smart awe intelligent awe zero brain awe vyovyote tambua jambo moja wote wana genye, nenda kafanye kazi
Nashukuru kwa baraka zako,nitapeperusha vyema bendera ya JF
 
usiku ni mtu asiyejulikana huyo shauri yako
 
Back
Top Bottom