Huyu Binti Kwa kusema hivi anaweza kukamatwa?

Huyu Binti Kwa kusema hivi anaweza kukamatwa?

Dunia ya sasa siyo ya zamani..

Juzi kuna gen z mmoja nilikuwa naongea naye, aisee mambo aliyokuwa anaongea, mambo anayoyajua, anavyochambua mambo, nikajisemea hapa kweli tuko kizazi kingine kabisaaa..

Mpaka ilibidi sasa nimuambie umeshaiva, karibu Jamiiforums😀😀
 
Kinachonifurahisha sasa, hata wale ambao wanaonekana hawana Elimu, nao wameweza kuitambua Janjajanja ya Samia kugawa Baiskeli na Pikipiki kama Rushwa ili wamchague.

Sasa nao wamesema, Baiskeli wanaendesha ila hawamchagui na hawampemdi, na hawamtaki.

Haya karibuni Wazee Watekaji, kazi kwenu menden muwateke, muwape na Kesi ya Uhujumu Uchumi kama ya Matumizi mabaya ya Mitandao itawashinda.

 
Back
Top Bottom