Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 6,394
- 17,568
Jiandae kukojolewa mkuu
hapo lazima karma igome tu, yaani huu ugangwe wote nikunjwe saba nipigwe zigzag na criss cross.
Jiandae kukojolewa mkuu
Hata huyu Nape na Samia+Masaun karma iko juu yao... Pumbavu zao.Taarifa sio ya Leo Karma is bitch,ukikojolea Iko Siku utakojolewa
Ni muda wao umefika mkuu cha msingi na sisi tuzidishe juhudi ipo siku mambo yetu yatakuwa kama hao
Wamesahau yule polisi wa Channel ten!? Ketenge alikuwa akiwakalia kooni Ndolanga na Rage wakati waandishi wengine walikuwa wanawagwayaNina mashaka na shughuli ya Kitenge huko kwenye media inawezekana ni state agent
Kuna tusi hapo... Au una shida?Mkuu matusi ya nini tena jukwaa la siasa?
Rudia taarifa yako vizuri.Na mimi nakijua tena kwa 100%
Mkuu km una kitobooooo jua muda wwte unaweza cheuliwa( sikuombei ila ukimfanyia mwenzako undezi yatakukuta)
Nenda gereza la lirungu utamkuta kajaa teleRudia taarifa yako vizuri.
Huyu jamaa amekuwa anazushiwa mambo kibao. Mimi nimepiga naye mzigo chimbo moja alipokuwa amepelekwa kupumzika/ kufichwa baada ya issue ya Pena. Baada ya hapo aliondoka Bongo!
Kwahiyo umeona kuna tusi hapo?.Sina shida boss
Nje ya wapi ? Wakati ana kesi kubwa na RPC , na ma askari karibu 7. Kwa mauaji ya mfanyabiashara na kuchukua pesa ndefu. Mwaka jana mwishoni tu amepanda kizimbani mara kibaoSiyo kweli kabisa. Huyu Mwamba Last year alikuwa chimbo moja linalohusiana na mambo ya ndani anakula maisha. Baada ya hapo nadhani alienda zake nje ya Nchi.