Huyu askari kwa sasa anasota rupango

Huyu askari kwa sasa anasota rupango

Serial killer Gilbert Kalanje....
Kweli dunia ni uwanja wa fujo.

Ukiwa mbabe sana hapa duniani basi ipo siku utakutana na wababe wenzako na watakukalisha.

Nasikia huyu mwamba aliyemtolea Nape bunduki naye leo hii ananyea ndoa au kubebeshwa mtondoo pale ngome.

Wanadai alihusika na ukatili wa kudhulumu uhai wa mjasiliamali wa huko kusini wilayani Nachingwea.

Hakika dunia ni uwanja wa fujo na mwenye nguvu mwache apite.View attachment 2683156
 
Kweli dunia ni uwanja wa fujo.

Ukiwa mbabe sana hapa duniani basi ipo siku utakutana na wababe wenzako na watakukalisha.

Nasikia huyu mwamba aliyemtolea Nape bunduki naye leo hii ananyea ndoa au kubebeshwa mtondoo pale ngome.

Wanadai alihusika na ukatili wa kudhulumu uhai wa mjasiliamali wa huko kusini wilayani Nachingwea.

Hakika dunia ni uwanja wa fujo na mwenye nguvu mwache apite. View attachment 2683156
Huyo hawezi sota lupango hata siku moja kwa kuwa anakinga ya kutoshitakiwa anapotimiza majukumu yake
 
Siyo kipindi kile hiyo sheria imepitishwa juzi juzi bungeni tu na haijulkani kama mkuu wa nchi kashaisaini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom