Huyu anayemaliza makanisa ya kuombewa anasumbuliwa na nini?

Au anaombewa kusudi akafanye mtihani wa kidato cha 4 ili atuletee vyeti vyenye majina yake halisi?
Anaombewa ili mashetani kama nyinyi msimdhuru! Si unajua mmeguswa kwenye ulaji wenu. Upo mzee Kangomba!!

In God we trust
 
kila movie ya kinaijeria pale mtu kama ameua mtu au watu,naonaga tubu yake lazima aseme ukweli wa ubaya wake mbele ya familia ya wafiwa,na wanajamii ndo anasamehewa na kuja kufa akiwa na amani..Ibada zingine au ata kwenda batizwa mto Yodan,au kuombewa na Pope au shekhe mkuu ni just drama and time waste
 
Hiyo yote ni kutafunwa na madhambi yaliyo pitiliza hadi kuanza kumwagika

Back
Top Bottom