Huyu anayemaliza makanisa ya kuombewa anasumbuliwa na nini?

Mashetani yamemzunguka
alafu kwa taarifa yenu, maombi ni kila muda na kila wakati mana hatujui siku wala saa lolote linaweza kutokea, ole wake yule ajionae amesimama ajiangalia asije akaanguka, shetani yuko kazini kila sekunda, alafu unaliza kwanini mtu anaombewa kila siku?

In God we trust
 
Naona imekuingia sana hadi unatokwa na mapovu au we ndiye yule unaye msumbua?
naanza na wewe mwenye chuki nae, alafu unaandika in God we trust, Mungu haitaji wenye chuki na visasi kama wewe

In God we trust
 
Back
Top Bottom