Mausiano na ndoa

Mausiano na ndoa

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Wakubwa wanakuambia uzuri wa nje ya nyumba usikudanganye kuwa ya ndani ni mzuri. Na usilolijua na kama usiku wa giza.

Leo nataka kuongeya na ninyi vijana wa kisasa ambao mnavutiwa na uzuri wa nje. Leo wanaume wengi wana kuambia mwanamke ni msambwanda (matako makubwa) bwana, kama hauna mzigo wewe ni sawa sawa na mwanaume mwenzetu.

Wanawake nao wanakuambia uzuri wa mwanaume ni pesa, bila pesa wewe sawa sawa na mbuzi tu ambaye amevaa kofia. Ila haya yote ni tamaa tu hakuna mapenzi ya dhati hapa.

Lakini tukija kwenye uhalisia mwanamke anahitaji kupenda na mwanaume anahitaji kupendwa.

Mwanaume wa kweli anahitaji kuoa, mwanamke wa kweli anahitaji kuolewa.

Je, mapenzi ya kweli yanaletwa na vitu hivyo tulivyo taja hapo juu jibu ni hapana. Mapenzi ya kweli uletwa na hisia kali

Je kati ya mwanaume na mwanamke ni nani ana stahili kupenda mwenzake
Jibu ni mwanaume. Kwa hiyo dada zangu usidanganywe na muonekano wa mwanaume kuwa ni mrefu saana, au mfupi saana, sijui mnene au mwembamba hakuna mwanadamu ambaye hana kasoro.

Angalia ni jinsi gani anavyo kupenda anavyo kuthamini, na kukujali. Maana hisia za mwanamke uletwa na matendo ya mwanaume sio muonekano wa mwanaume

Na mwanaume usiwe na sababu za kumpenda mwanaume maana ukisema umempendea sura tambuwa kuna wazuri zaidi utakutana nao

Mwisho ndoa sio uchumba. Furaha ya ndoa uletwa na matendo mazuri ya mwanaume au mwanamke.

In God we trust

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema yooooteee lakini aisee ni lazima awe na tako. Full stop! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Screenshot_20221211-103514_Instagram.jpg
 
Binafsi nachotaka kwa kuheshimiwa TU,
Jukumu la kupenda aniachie Mimi TU.

Ukinipenda bila kuniheshimu kiukweli unafanya kazi bure, sitakupenda kabisa

Kuna mmoja tunagombana kila Mara, discipline kwake Ni sifuri

afu anasema anashangaa kwann simuoi wkt anajitoa sana kwangu na kuonyesha wazi l ananipenda sana[emoji4]
 
Back
Top Bottom