Huwa unatumia mbinu gani kumuacha mpenzi wako ambaye umemchoka bila kumtamkia kwamba humtaki?


Kila mtu binadamu mbinu yake ya kuachana na mpenzi wake pindi anapoona amemchoka na haitaji tena kuendelea na hayo mahusiano.
Ni moja tu piga mahesabu yamuda uliyempotezea halafu umlipe halafu mwambie hukuwa mwaminifu kipindi hicho cha mahusiano umempa mtoto wa mchungaji mimba na umeamuriwa umuoe kwa lazima umuombe msamaha achana naye
 
Mke kama unaishi nae na umejenga nyumba yako ndo mpya na una watoto nae uta mwacha kwa nmna gani achana na mahala ambao bado hamja howana
 
Nilishajikuta na mikasa ya mara kwa mara mademu kung’ang’ania ghetto!kwahiyo akiniganda kama ruba huwa natulia nae nikimchoka naanza kununua vitu ghetto lingine nikimaliza nasepa zangu kimya kimpya sichukui hata kijiko
 
Back
Top Bottom