Huwa unatumia mbinu gani kumuacha mpenzi wako ambaye umemchoka bila kumtamkia kwamba humtaki?


Kila mtu binadamu mbinu yake ya kuachana na mpenzi wake pindi anapoona amemchoka na haitaji tena kuendelea na hayo mahusiano.
Kwangu huwa ni rahisi sana huwa nikimchoka demu wangu nirahisi sana kumuacha. Nampa two options ambazo lazima nitamuacha tu kwa vyovyote.

Huwa namuomba Tigo, akikubali namuacha kwamba kumbe ndio michezo yake ya kifulaun , akikataa namwambia mimi nimezoea hivyo huusiano unaishia hapo.

It's simple
 
Nilishajikuta na mikasa ya mara kwa mara mademu kung’ang’ania ghetto!kwahiyo akiniganda kama ruba huwa natulia nae nikimchoka naanza kununua vitu ghetto lingine nikimaliza nasepa zangu kimya kimpya sichukui hata kijiko
Acha kuwatunza watu kama wake zako mwonyeshe mtu girlfriend hatoganda sasa akiamua kuviuza na gharama za kila siku?
 
Nikimchoka hawala, naingia whatsapp status nampost mwanangu + neno tamu "nakupenda mwanangu".

Kinachofuata maswali ya hawala; huyo ni mwanao? Mbona hukunambia? Una mke eenh?...

Imeisha hiyo. !!
 
Nikimchoka hawala,naingia whatsapp status nampost mwanangu + neno tamu "nakupenda mwanangu".Kinachofuata maswali ya hawala;huyo ni mwanao? Mbona hukunambia? Una mke eenh?...
imeisha hiyo. !!
Shukrani sana walau nimepata gia ya kumbwaga mtu.
 
Back
Top Bottom