Huwa unatumia mbinu gani kumuacha mpenzi wako ambaye umemchoka bila kumtamkia kwamba humtaki?

Eeeh be hapo waga pagumu sana ila kimya kimya silent killers nikupunguza ma communication then ata jiongeza mwenyewe
 
Nikipenda kwa dhati na akawa mstaarabu namwambia tu kuwa tumefika mwisho, kinyume na hapo ni mbinu yoyote tu ya dharau inatumika
utarogwa jumla Noelia!! Kamwe usifanye ivo tena .ukirogwa Hadi Ushindwe pa kutokea!! Hivi unajua mapenzi yanavouma kama kidonda??

Usicheze na hisia za binadamu mwenye mwili ambazo huzijui km yeye yuko deep kiasi gani...nikusaidie tu ...ukiona umemchoka mtu toroka kimya wende usirudi!!!akikupigia mwambie
ntakuja!!!
Nakuja leo!!
Nilipata udhuru nakuja...

mpaka akupuuze yeye.....au mzike mazimaa hewani akukatae yeye!!!

Mapenzi kitu kingine kabisa usione watu wanakufa kisa mapenzi... Dunia nzima leo!! Watu wanapigika mbaya kuchakaa ajili ya mapenzi .

Km hujaelewa Eva na nyoka bustan eden ilikuwa....ile nyoka kusikia sauti tu!! ya Eva ikimjibu pale pale bustanini kojo mwaaa!!
Si Eva kaona huruma kasogelea naniliu ....shetani kala tunda kiulainiiii......akamwambia sasa unaona umekufaaa??

Eva kasema " hpn shetani sijafa"..ukiona vita yeyote ile gumu Duniani...ni vitu viwili tu wanataka watu...
1.Mapenzi hii iko juu ya yote! Inaanzaga kote kote.kwa wanyama.ndege miti nk.

2'pesa...nikimaanisha fedha!! Hayawani hawafanyii fedha.....baaaasi
Hkn kingine.
 
Oohw umetiririka vilivyo, hamna mtu akianza we mmalize, ndo system yangu sifanyi dharau kwa mtu mwenye staha ukileta dharau mi naizidisha maradufu, bado natakwa Sana tu hakuna wa kunibabaisha
 
uko sahihi......lkn iko siku isiyo kuwa na tarehe utafika mahali utaona kabisaaaa!! "kooote nimezunguka lkn sijawahi pata nyama tamu na laini km hii ya Swala..je hujakaaa hapo?

Au sawa utaacha lkn ukifika huko..
Utakuta nyama mbayambaya tu ngumuuu!!
Husikii utamu...zina kuacha hewani tu bila msaada...Je hujatoka?

Af kuna vitu flani hivi! Ktk maisha! kuna sehemu ukiolewa/oana na mtu au watu mishe mishe za hela. kazi .safari zinakuja hiviiiiiiiii.....

Utashangaa bado mdogo lkn una nyumba ya million 800/- af hutetereki
Ndo kwaaanza unampeleka mwanao chekechea Uk...na bado mpunga unaita...

sasa acha mtu wa hivi uone mziki wake...siyo ulozi dada ni nyotaaaa!!unaweza hata kufa kibudu huko ajili ya mawazo.

Je hujarudi uliko toka kwa magoti??? Nina mifano miingi ya watu wa hivi.

Haufi ila utateseka na kuchekwa mnoo!! Utashangaa gari zinaozea tuu uani. Ni nzima lkn hela ya petrol huna. unauza nyumba ili upate petrol??

Acha!! lkn zingatia hilo..km unapata maisha bomba!! yako yanaenda unamuacha wa nini?? Mrekebishe tu jiko umeshika wewe sasa???.
Ila... asijue! Nyota yake inavokuwakia.
 
Yani haya maelezo Ni Kama unaona nachopitia maishani mwangu kwa Sasa na bahati iliyo njema kanifanya mke kwa heshima zote kiukweli sipo tayari kumkosa kwa gharama yoyote ile, uko sahihi smaki nilipo kutoka ni kwa mbinde sitakubali kirahisi Kama huko kwingine😍
 
Back
Top Bottom