Huwa tunashindwa kuelewa kitu kimoja tu

Huwa tunashindwa kuelewa kitu kimoja tu

Kama ni mtihani, nimekosa hata pa kuandika jina.

Nimetoka kapa. Sijaelewa kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzako nimesoma mara tatu!!! Jaribu na wewe utaelewa tu
 
Kuna mambo mengi sana ambayo hujayasema, ambayo ni kati yako wewe na mwenzio, hatujasikia upande wa mwenzio, na nyinyi wawili ndo.mnajua, kwamba anafanya makusudi hatak kuanzisha familia na wewe ama kuna reason nyingine,,na ndio mana nasema inawahusu nyinyi wawili, sasa kama unaona cheating ni suluhisho tosha basi endelea tu, na huyo unaaemcheat nae, nae atakaa na wewe 5yrs anakutumia alafu utatafuta tena wa kumcheat nae, kwaio the process goes on and on. Kaa tafakari na umrudie muumba wako yeye ndio.anajua chaguo.lako, lakin kama unataka kucheza bahati nasibu na cheating style all in the name of kukaa 5yrs ..basi goodluck.
the issue is sio makusudi now dayz among of men hawapendi majukumu wanataka mtelemko so kila ukimuuliza kwamba nivumilie one day yes natafuta hela mama tunashindwa kuelewa hizo hela unaweza kupata hata ukiwa na mwenzako ndani tumekalili!!!ivi huko zamani wazee wetu walikuwa wanasubilia mpka ajenge au anunue gari ndo ajue kuoa?
 
Hongera sana miaka sita,mimi mwezi huu tuu nachpka maana asilimia kubwa ya wapenzi wangu ni muslim,sasa kukaa mwezi mzima bila nanii ni adhabu sana.
 
We ndakushima.

Nimesoma threads zako zote.
Inaonesha umefanya kitiu alafu roho inakusita lakini unataka sisi tuku support kwa ulichofanya ili ujisikie vizuri

Sasa sisi hatuwez fanya hiyo kazi. Ata mtu akikupa pole nk.

Haitakupa amani.

Sikiliza roho yako.

Ukiona inakuambia uache acha, ikikuambia ufanye fanya.

Hicho ndicho kitakupa amani,
Hakuna kingine chochote.

Raha jipe mwenyewe Ndakushima. All the best. Mungu akubariki
 
Wanaume kuna wakati uwa tunataka wanawake wawe kama malaika yani wawe sahihi kwa asilimia mia na hapo ndipo tunapo feli na tutafeli sana,kama unataka kujenga nyumba makini na isiyo na kero kwanza jua wanawake nao ni kama binadamu mwingine anatamani anashawishika na anavutiwa pia ukishindwa kumshawishi,kumfanya akutamani wata mshawishi wenzio!!
Uko mbali na mwenza wako una miezi 6 ujamtembelea ujamtumia nauli aje kukutembelea ukisikia kachepuka unataka kuja juu huo ni upuuzi wa kiwango cha rami jilaumu kwa kutofanya wajibu wako
kama wewe unavyo tamani na kufanya baadhi ya vitu ndivyo na wao walivyo tofauti ni jinsia tu usipo elewa hayo mambo ndoa itakuwa ngumu sana pia tujue hawa watu atujawalea sisi lazima utumie njia mbadala kumfanya awe utakavyo jamani
 
the issue is sio makusudi now dayz among of men hawapendi majukumu wanataka mtelemko so kila ukimuuliza kwamba nivumilie one day yes natafuta hela mama tunashindwa kuelewa hizo hela unaweza kupata hata ukiwa na mwenzako ndani tumekalili!!!ivi huko zamani wazee wetu walikuwa wanasubilia mpka ajenge au anunue gari ndo ajue kuoa?
Nimekuelewa ila kucheat sio suluhisho, kama mtu hana malengo na wewe ama huna malengo nae ni bora muambizane mapema, ili msizid kupotezeana muda na kuumizana pasipo sababu za msingi
Na pia ni kweli sio lazima mtu uwe na gari ama umejenga ama una kaz nzur ndo uoe, maisha ni mipango, ila kuna mambo ya msing ambayo mnapashwa kuyafanya ama kuyaweka sawa kabla ya kuingia ktk maisha ya ndoa
Na pia kila mahusiano ya watu wawili wana mipango yao
Lakin katika hayo yote upendo wa dhati ndio msingi wa kila kitu, ndoa haipaswi kukimbiliwa,,
 
Wanaume kuna wakati uwa tunataka wanawake wawe kama malaika yani wawe sahihi kwa asilimia mia na hapo ndipo tunapo feli na tutafeli sana,kama unataka kujenga nyumba makini na isiyo na kero kwanza jua wanawake nao ni kama binadamu mwingine anatamani anashawishika na anavutiwa pia ukishindwa kumshawishi,kumfanya akutamani wata mshawishi wenzio!!
Uko mbali na mwenza wako una miezi 6 ujamtembelea ujamtumia nauli aje kukutembelea ukisikia kachepuka unataka kuja juu huo ni upuuzi wa kiwango cha rami jilaumu kwa kutofanya wajibu wako
kama wewe unavyo tamani na kufanya baadhi ya vitu ndivyo na wao walivyo tofauti ni jinsia tu usipo elewa hayo mambo ndoa itakuwa ngumu sana pia tujue hawa watu atujawalea sisi lazima utumie njia mbadala kumfanya awe utakavyo jamani
Very nice words
 
Hongera sana miaka sita,mimi mwezi huu tuu nachpka maana asilimia kubwa ya wapenzi wangu ni muslim,sasa kukaa mwezi mzima bila nanii ni adhabu sana.
I don think kama umeelewa ujumbe wangu labda urudie tena kusoma gal/mkuu
 
hello guys!!
kuna kitu huwa tunashindwa kuelewa exmp jana nmepost kitu humu!! wapo walio shaur en wapo walio toa matusi ya kulaumu why am doing that!!!? hivi mie niulize mwanamke anaye cheat kwan huwa anapenda?? Let me tell you something mpo kwenye uchumba takribani 5year alfu unaishi arusha mpenz wako yupo ngala sasa na huyu mwanamke anataman kuishi maisha ya family yake na yey one day aitwe mama akikucheat utasema ni Maalaya??hueleweke ni namba shufa au witiri afanyeje sasa unahisi?? (Hujatoa chochote kwao na hapo upo mbali nae bt unaendelea kusema nivumilie miaka sita sasa yupo tu anakusubilia wew vaa hiko kiatu uwe ni wew mwanamke/ mwanaume ungekuwa wew ungefanyaje)

think big before you say anything [emoji57]
Sijui kwanini watu wakati mwingine wanashindwa kujibu maswali kiuhalisia..mtu anaweza kuja na povu huko utafikiri kaandaliwa maji loh!!

Lakin mamaaa kwa upande mwingine na wewe una makosa...unakubalije kuwa mchumba wamtu kwa mkopo???ngoja niweke hivii...unakubalije kuwa mchumba wa mtu ili hali hajalipa chochote kitu kwenu??tena unakubalije mkae miaka yote hiyo ya uchumba dear???au ndo akusoma kana kwamba anataka kupata pHD in you ama?????napata ukakasi sana juu ya hilo.

Mm ni mmoja kati ya waliokusapot jana lkni kwa hilo dear big NO!usikubsli kuwa mchumba wa mtu kwa miaka mingi namna hiyo bhanaaaa CHAH!!!

Mwambie akatoe mahari kwenu then muonde kanisan mkafunge ndoa yenu asubuhi mkitoka huko kama kuna wa kusafiri asafir,,kama kuna wa kwenda shamba aende.kwanini uje upate matatizo wa moyo ndugu yangu??

Akikataa kufanya hivyo bora uachane nae maana mwisho wa siku atampata mwanamke mwingine ndani ya mwaka keshamuoa tayar na hivi mko mbali...sipati picha alooo..

Uhusiano wa muda mrefu unachoshaga bhana mwisho mnazoeana anakuona kama mama au dada ake.na mkishafikia kuonana kama kaka au dada hapo hamna kitu andika maumivu.

Kama comment yangu itakukwaza dear am sorry.nimejaribu kujibu japo kidogo kwa kuangalia uhalisia
 
the issue is sio makusudi now dayz among of men hawapendi majukumu wanataka mtelemko so kila ukimuuliza kwamba nivumilie one day yes natafuta hela mama tunashindwa kuelewa hizo hela unaweza kupata hata ukiwa na mwenzako ndani tumekalili!!!ivi huko zamani wazee wetu walikuwa wanasubilia mpka ajenge au anunue gari ndo ajue kuoa?
Dear mkimbie mwanaume anaekimbia majukumu aiseeh utapata shida sana.muulize ni nani alishawahi msikia anatafuta pesa pipa na mapipa akajaza???achana nae tu aise hakuna namna.

Ni bora ukawa single lady kuliko kuwa na mwanaume mzigo.utajuta ukiingia ndoan.

My dear 5yrz kweli.....no you cant be serious KABISA.
 
Why not? Hujawahi kuona au kusikia au kilicho kushangaza ni nni haswaa?!!
 
Back
Top Bottom