ndakushima
JF-Expert Member
- Jul 27, 2015
- 220
- 124
hello guys!!
kuna kitu huwa tunashindwa kuelewa exmp jana nmepost kitu humu!! wapo walio shaur en wapo walio toa matusi ya kulaumu why am doing that!!!? hivi mie niulize mwanamke anaye cheat kwan huwa anapenda?? Let me tell you something mpo kwenye uchumba takribani 5year alfu unaishi arusha mpenz wako yupo ngala sasa na huyu mwanamke anataman kuishi maisha ya family yake na yey one day aitwe mama akikucheat utasema ni Maalaya??hueleweke ni namba shufa au witiri afanyeje sasa unahisi?? (Hujatoa chochote kwao na hapo upo mbali nae bt unaendelea kusema nivumilie miaka sita sasa yupo tu anakusubilia wew vaa hiko kiatu uwe ni wew mwanamke/ mwanaume ungekuwa wew ungefanyaje)
think big before you say anything