MBWAMBO NICHOLAUS JR
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 423
- 434
- Thread starter
- #61
Nimekosea kwenye ku tagNdo ana nini?
Nimekosea kwenye ku tagNdo ana nini?
Basi usipende kuwatafuta wakusaidie shida zingineMimi mwenyewe sipendi wanaume wenye kulazimisha makutano
Shida sio kuuliza chochote...Ukimpata mwingine na kama hutaki tena kudanganywa usiwe unamuuliza chochote.
Hakupendi jiongeze kha! Keshaona unataka kumtumia kingono kwa vizawadi vyako ndio maana anakukwepa,kwa kifupi hauko kwenye mahusiano na huyo Binti,wote mnajua mnachokipata au mnachokitafuta kutoka kwa kila mmoja
Well said chiefMwenzio anakupa sababu wewe unamuwazia ngono tu jibu lako naona pengine lilikuwa hapendwi simpo mtu anakwamba kasema twende sehem dem anapanga safar nyingine bado unapeleka mfano wako kingono tu daaaaa
Kila kitu kwenye mahusiano kina wakati wake na umuhimu wake. Kwangu mimi, hakuna mapenzi bila ngono kama yapo basi hayo ni aina ya mapenzi ya miaka 800 iliyopita, SIYAWEZI.Mnhhhh
Nyie ndio huwaga mnawezaga mahusiano ni ngono tu,,,I guess una miaka 27 kushuka chini, one day ukishakua mkubwa na kuzoea ngono,,utaona ulikua unaipa uzito mkubwa ngono wakati ni kitu cha kawaida tuu,,,
Unaambiwa leta kipochi sababu kedekede
Full kuigiza unaumwa n.k
Shida sio kumchezea ShidaHahaha kumbe umesanganywa hivi tu ndio umepanick ..mdada wa watu hataki umchezee tu pasipo kujua kama una future nae au la. .
Mwanaume aliye kuwa amemshika masikio tayari amesha mpiga chini. .so ana tapa tapa nowHalafu anasema turudiane
Hahaaaa....Mwanaume aliye kuwa amemshika masikio tayari amesha mpiga chini. .so ana tapa tapa now
Zawadi umekata 😂😂😂😂😂
Hii mi naamini ...nikipata manzi nahakikisha nagegeda haraka sana then mambo mengine yanaendeleakwani wanawake ndio wanawaza ngono kuliko hata wanaume na hata ukimpata demu keo ukimchelewesah ahata wiiki mbili tayari kasuguliwa na mwingine ndio maana mabaharia wanafanya fanya haraka ili kuweka ulinzi...ni kwamba kizazi hiki tunapenda ngono
Mnhhhh
Nyie ndio huwaga mnawezaga mahusiano ni ngono tu,,,I guess una miaka 27 kushuka chini, one day ukishakua mkubwa na kuzoea ngono,,utaona ulikua unaipa uzito mkubwa ngono wakati ni kitu cha kawaida tuu,,,
Sina maana ngono tuuu hapana hiyo kama mfano...
Kwanini mtu aseme anaumwa kumbe haumwi
Kwanini mtu anakwambia ntaenda sehemu fulani ili tuu akuzuge usikitane naye
Woi mnasema tu ila mkiwapata wala hamuwadhamini wanaume wanapenda wadada mazuzu halafu wakishapotezewa muda anarudi kulalamika.Maamuzi sahihi, siku hizi wamekuwa wezi wezi na matapeli tu, ukimpata aliyetulia na anayeona mbali shikamana naye.
Sa kwenye thread umesema unamwambiaga vitu vya maana haelewi analeta tu vijisababu. Kumbe kitu cha maana chenyewe ni ngono? Yani kweli unanyimwa papa unakuja kulalama hapa?Unaambiwa leta kipochi sababu kedekede
Full kuigiza unaumwa n.k