MBWAMBO NICHOLAUS JR
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 423
- 434
Habari za usiku huu wana JF...
Niende kwenye mada mimi mwenzenu kwenye mapenzi na maisha General huwa sipendi tabia ya uongo yaaani UONGO UONGO....
Mfano kuna demu niliwahi kuwa nae kwenye mahusiano ndani ya miezi mitano tuuu nikasitisha mahusiano Kwa sababu ya UONGO na Fake promise janja janja nyingi sana
Ndani ya miezi mitano nilifanikiwa KUPATA mara mbili kila nikimshawishi kuhusu masuala muhimu uswahili mwingi
Mwisho wa siku nikamwambia yaishe wewe endelea na maisha yako nami maisha yangu
Imepita miezi mitatu leo kanicheki ananiuliza hivi nilikua seriously kweli kukatisha mahusiano...
Nikamwambia kuwa YES mana huwa sipendi usanii yaani mdada wa miaka 25 still analeta janja kwa vijana na matumizi anapewa sina mda na watu wa sampuli hii...
Share kitu gani hupendi