Huwa sipendi wanawake wenye kitabia hiki

Huwa sipendi wanawake wenye kitabia hiki

Kwa taarifa yako mimi kuliko kutoka na mwanamke zuzu bora nipige nyeto.
Simwagagi mbegu zangu hovyo...ninapokojolea kila mmoja ananyoosha mikono.
1. Nataka mwanamke mwenye akili
2. Msafi na mrembo
3. Anayejielewa
Woi mnasema tu ila mkiwapata wala hamuwadhamini wanaume wanapenda wadada mazuzu halafu wakishapotezewa muda anarudi kulalamika.
 
Kwa taarifa yako mimi kuliko kutoka na mwanamke zuzu bora nipige nyeto.
Simwagagi mbegu zangu hovyo...ninapokojolea kila mmoja ananyoosha mikono.
1. Nataka mwanamke mwenye akili
2. Msafi na mrembo
3. Anayejielewa
Kumbe hujampata unamtaka basi umempata
 
Asante sana, na sijasema unanitaka, na hata ungenitaka isingewezekana kwa VIGEZO vyangu....wewe inaelekea unaongea sana...japo sio vibaya ila sio hitaji langu
Sio mimi mimi sihitaji mume humu nataka mume ninayemwona nikimuhitaji yupo sio niteseke kumuona kisa yupo mbali.
Humu nimesha weka cross so usiringe sikutaki hata mimi .
 
Asante sana, na sijasema unanitaka, na hata ungenitaka isingewezekana kwa VIGEZO vyangu....wewe inaelekea unaongea sana...japo sio vibaya ila sio hitaji langu
Mimi simvungii mtu ndio maana ukinisema nakusema ukiniheshimu nakuheshimu ukionyeshelea madharau mimi ndio zaidi unajua kwanini anayenipa pumzi ni Mungu sio mwanadamu so nilazima niongee pale panapohitaji vigezo na maisha yenyewe mafupi kwanza siku hizi nyie hampaswi kuringa maana hamuwezi mechi kazi kula chipsi.
 
Kwa jinsi nnavyosoma majibu yako kwenye comment za watu wewe una tatizo nadhani... Maana unasema anakukatalia kulala na wewe na sio directly bali kwa visababu vingi vingi. Mara hataki kukutana na wewe ... Ngoja tu nikupe conclusion ndogo sio unalalamika lalamika huku. Wewe inaelekea una sura personal au muonekano zero. Au labda pia una kasoro nyingine ambayo iko wazi sana na anona aibu kukutana na wewe na kinyaa kulala na wewe.
Hujaelewa ninachosema hapa...

Suala kwamba baada ya kuachana nami imepita miezi mitatu mwezi huu karudi kuomba turudiane

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Mnhhhh

Nyie ndio huwaga mnawezaga mahusiano ni ngono tu,,,I guess una miaka 27 kushuka chini, one day ukishakua mkubwa na kuzoea ngono,,utaona ulikua unaipa uzito mkubwa ngono wakati ni kitu cha kawaida tuu,,,
Sijajuwa kwann unajaribu kuwa negative na kuwaza kwamba ss wanaume tukimuita mtu huwa tunawaza ngono tu
 
Wala sikulauki hata kidogo, huo ufahamu na uwezo wako wa kufikiri hujachagua bsli umejikuta kama ulivyo.
Low thinking capacity huo nao ni ugonjwa/ukilema sawa na vilema vingine
Mimi simvungii mtu ndio maana ukinisema nakusema ukiniheshimu nakuheshimu ukionyeshelea madharau mimi ndio zaidi unajua kwanini anayenipa pumzi ni Mungu sio mwanadamu so nilazima niongee pale panapohitaji vigezo na maisha yenyewe mafupi kwanza siku hizi nyie hampaswi kuringa maana hamuwezi mechi kazi kula chipsi.
 
We tafta mademu wa kawaida kwanza upige mashine sana kama zoezi la muda mrefu uizoee kwanza. Hio hali ya wenge itakutoka. You lack patience bro!!!

Saingine mwanamke anakutest tu kama haji vile, ukiyumba kwa kujipanikisha ovyo saingine mnatukana kabisa hapo anakuona hufai.

You are acting too needy of the pussy, a major turnoff to ladies. Gentleman lazma uwe calm.
 
Wala sikulauki hata kidogo, huo ufahamu na uwezo wako wa kufikiri hujachagua bsli umejikuta kama ulivyo.
Low thinking capacity huo nao ni ugonjwa/ukilema sawa na vilema vingine
Uwii ngoja tukae mbali na high capacity of thinking zoba kweli wewe ndio wale watu wamebebwa bebwa tu kimaisha primary ukanunuliwa mitihani 4m4 ukanunuliwa mitihani A level ukanunuliwa mitihani degree masters hivyo hivyo hujawahi fanya interview hujawahi sota kupata lolote wewe kila kitu kipo so unaringa sana kisa hujaumia kwa lolote so hayo mAisha yakufoji unayo nakuongea kizungu kiswahili unacho ila kiukweli ukiwekwa kwenye mada za userious huwezi kutumia bongo huwezi .
Wewe hata kazi unafanyiwa mwisho wa mwezi unapokea chako na chochote chako unabebwa tu sampuli za wanaume kama hawa ni sawa kuishi Tz ukivuka boda utAteseka sana maana ndio reality yenyewe unayoenda kuiishi .
Huna lolote wewe kazi kuja hapa nakujishaua kisa umefanya life short cut hata kama umeoa au unamtoto kwa bahati mbaya akija kukuliza swali tu la darasa la pili hulijui kwa maana hujawahi kuumiza kichwa kwa lolote nyie ndio mothers boys ambao wao ni kulia lia tu na kujishaua ila kiukweli maisha hamyajui mnatumia vichwa kama sisi ili muishi mjini mnaweza muwe na hela ila hamuna akili akili zenu zimezima kisa mnapenda dezo .
Na wanawake zenu wengi ni slay queens a.k.a .mbululas hawajitambui kama nyie.
 
We tafta mademu wa kawaida kwanza upige mashine sana kama zoezi la muda mrefu uizoee kwanza. Hio hali ya wenge itakutoka. You lack patience bro!!!

Saingine mwanamke anakutest tu kama haji vile, ukiyumba kwa kujipanikisha ovyo saingine mnatukana kabisa hapo anakuona hufai.

You are acting too needy of the pussy, a major turnoff to ladies. Gentleman lazma uwe calm.
Mkuu nimekusoma sanaa....
Mimi sio mtu wa sex sanaa
Ndio mana ndani ya miezi mitano nilikula mzigo mara moja tuu....

Ila sipendi vijitabia vyake full kudanganya mara anaenda mkoani kumbe yupo hapahapa town
Mara anaumwa hana mudi ya kukutana na mimi kumbe swaga tuu..
Basi full vituko
 
hawa wadude ndio walivyo, kuwa nae ila usimchukulie serious sana😂 wengi wazush wazush
 
Mkuu nimekusoma sanaa....
Mimi sio mtu wa sex sanaa
Ndio mana ndani ya miezi mitano nilikula mzigo mara moja tuu....

Ila sipendi vijitabia vyake full kudanganya mara anaenda mkoani kumbe yupo hapahapa town
Mara anaumwa hana mudi ya kukutana na mimi kumbe swaga tuu..
Basi full vituko
Ila huyo atakua kawapanga🤔
Au hakupendi,khaaaa
Ila pia hongera Kwa mwanaume kukaa miezi 5!!!?? Sio mchezo
 
Back
Top Bottom