Huwa sipendi wanawake wenye kitabia hiki

Huwa sipendi wanawake wenye kitabia hiki

We tafta mademu wa kawaida kwanza upige mashine sana kama zoezi la muda mrefu uizoee kwanza. Hio hali ya wenge itakutoka. You lack patience bro!!!

Saingine mwanamke anakutest tu kama haji vile, ukiyumba kwa kujipanikisha ovyo saingine mnatukana kabisa hapo anakuona hufai.

You are acting too needy of the pussy, a major turnoff to ladies. Gentleman lazma uwe calm.
Legendary 🤣
 
Mnhhhh

Nyie ndio huwaga mnawezaga mahusiano ni ngono tu,,,I guess una miaka 27 kushuka chini, one day ukishakua mkubwa na kuzoea ngono,,utaona ulikua unaipa uzito mkubwa ngono wakati ni kitu cha kawaida tuu,,,

Sasa mahusiano ya nini na mwanamke kama hakupi utam?!
 
Habari za usiku huu wana JF...

Niende kwenye mada mimi mwenzenu kwenye mapenzi na maisha General huwa sipendi tabia ya uongo yaaani UONGO UONGO....

Mfano kuna demu niliwahi kuwa nae kwenye mahusiano ndani ya miezi mitano tuuu nikasitisha mahusiano Kwa sababu ya UONGO na Fake promise janja janja nyingi sana


Ndani ya miezi mitano nilifanikiwa KUPATA mara mbili kila nikimshawishi kuhusu masuala muhimu uswahili mwingi

Mwisho wa siku nikamwambia yaishe wewe endelea na maisha yako nami maisha yangu

Imepita miezi mitatu leo kanicheki ananiuliza hivi nilikua seriously kweli kukatisha mahusiano...
Nikamwambia kuwa YES mana huwa sipendi usanii yaani mdada wa miaka 25 still analeta janja kwa vijana na matumizi anapewa sina mda na watu wa sampuli hii...

Share kitu gani hupendi
Mkuu mi mwenyew kuna mtu naanza kumfungia milango kuanzia leo,yaan unakutq dem unampa lakini mambo mtihani.

Harafu hakuna kitu sikipendi demu atengeneze fake matatizo ili ajipatie pesa,leo namfungia vioo rasmi
 
Back
Top Bottom