MBWAMBO NICHOLAUS JR
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 423
- 434
- Thread starter
- #21
Halafu leo imepita miezi mitatu ananitafuta turudianeHakupendi jiongeze kha! Keshaona unataka kumtumia kingono kwa vizawadi vyako ndio maana anakukwepa,kwa kifupi hauko kwenye mahusiano na huyo Binti,wote mnajua mnachokipata au mnachokitafuta kutoka kwa kila mmoja
Hahaaa wanawake