Huwa sipendi wanawake wenye kitabia hiki

Huwa sipendi wanawake wenye kitabia hiki

Wewe utakuwa ndugu yangu.

Mimi ukizungusha/kuongopa mara ya kwanza naweza kukuelewa ila inategemeana na uongo nilioambiwa, ukizingua mara ya pili tu nawaza kutafuta mbadala wako siku hiyo hiyo uliyozingua hata kama una dharura ya ukweli.

Sipendi niikoseshe furaha na amani nafsi yangu kwa ajili ya uongo wa mtu mwingine.
Ndiyo maana promises naziheshimu sana.
Hizo ndio principle zangu mkuu
 
Mnhhhh

Nyie ndio huwaga mnawezaga mahusiano ni ngono tu,,,I guess una miaka 27 kushuka chini, one day ukishakua mkubwa na kuzoea ngono,,utaona ulikua unaipa uzito mkubwa ngono wakati ni kitu cha kawaida tuu,,,
kwani wanawake ndio wanawaza ngono kuliko hata wanaume na hata ukimpata demu keo ukimchelewesah ahata wiiki mbili tayari kasuguliwa na mwingine ndio maana mabaharia wanafanya fanya haraka ili kuweka ulinzi...ni kwamba kizazi hiki tunapenda ngono
 
Back
Top Bottom