Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 969
- 3,065
Leo ndo ninemegundua Tatizo langu kubwa ni kutopenda kumpa mtu pesa.
Nimeombwa pesa ya Kununulia umeme nikamwambia Tuma miter namba, kilichofuata mtu kaka kimya hajibu sms Wala simu Hapokei.
Baada muda akatuma sms
"Yaani wewe ni Mgumu sana kumpa mtu pesa, mtu akikuambia anashida unamuuliza shida Gani, umfanyie utatuzi"
Last week alisema Kodi imeisha nikampgia mwenye Nyumba, nikamtumia Kodi yake.