kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Alikuwa anakudanganya kumbe
Mambo mengi yasiyo na msingiEm jaribu kuniwekea kwanza ya soda ndio uje na mrejesho hapa kama kweli hupendi au tu huyo kakukera😁😆
Anyway,. Siku nyingine uwe unampa bila kukuomba wanawake tuna mambo mengi sana na sio lazima yote kuyaeleza