Huwa sipendi kumpa mtu pesa

Huwa sipendi kumpa mtu pesa

Sema mm huwa simuamini mwanaume mbele ya mwanamke, utakuta mkuu katuma halafu huku kaja kufungua uzi wa kutupelemba tu really stingy men ni wachache sana
Haaaa. Sipendi tu Ku Screen shoot Sms ila kiuhalisia Kuna Baadhi ya mambo Hawa watu wa Jinsia ya kike mast uwe na akili ya Ajabu, mtu alishawai kataa kula ugari ilihali ndani Kuna Kila Kitu mpaka nika waza Mimi nimetoka kijijini ambako chakula ni shida. Maisha magumu yaani mtu haulingi Wala kuchagua chakula Mimi Binafsi huwa nashaangaa na kutumia akili, Binafsi Mimi nimebahatika kuzaliwa kidogo kwenye familia yenye uhafadhali why mtu awe hiv Maisha kama mnakomoana
 
Back
Top Bottom